Je, hali ilivyo sasa, askari wanaogopa nini, na sisi raia tunaogopa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, hali ilivyo sasa, askari wanaogopa nini, na sisi raia tunaogopa nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Massenberg, Feb 8, 2012.

 1. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kutokana na hapa taifa lilipofikia, mahala ambapo bila haja ya maelezo ushahidi uko wazi kuwa mwelekeo wa nchi ni lazima ubadilishwe; na kwa kufahamu kuwa hakuna aliyeko madarakani mwenye uwezo wa kubadili hali hii, maswali ya kujiuliza ni haya:
  1 - Inafahamika kuwa askari tunaowaona kila siku barabarani na kwenye Land Cruisers na Defenders hawana chochote wanachofurahia, si mazingira ya kazi wala mishahara. Je, ni kitu gani hicho ambacho kinawazuia kuungana na raia na kubadili mwelekeo?

  2 - Sisi raia pamoja na wingi wetu kila mahala, ni kitu gani hicho kinachotuzuia kufanya ambacho wenzetu kwenye mataifa mengine wanafanikiwa na kuondoa madarakani serikali mbovu kama hii?
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  askari wamekula kiapo cha utii!!
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  PAW akiona hii lazima akupige ban la maisha kwa kuchochea polisi "kupindua nchi"
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Angalia ya Misri walifanya hivyo but hakuna amani.So nafikiri hiyo si njia muafaka hapa kwetu,majadiliano na kuwajibika kwa viongozi inaweza kuwa njia muafaka.MUNGU tujalie amani.
   
 5. M

  Madodi Senior Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  sio rahisi kama unavyodhani...
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  je raia nao wamekula kiapo cha utii?
   
Loading...