Kule tulikotoka, ndiko kule kwa Chinova? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kule tulikotoka, ndiko kule kwa Chinova?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 18, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
 2. M

  MC JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Tuilinde nchi yeeettuuuuuuu....

  Sisiemu sio mamaaaaaaaaaa......

  Tuilinde nchi yeeetuuuuuuuuu (Vigelegele)

  Kawimbo kametulia, Na bado!
   
  Last edited by a moderator: May 18, 2009
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku sasa soon utaokota makopo....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  Da,
  jamaa kama black mambazo vile!!!!!!!!
   
 5. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ebwana kweli nomaaaa, naona Mwanakijiji sasa unakwenda speed sanaaa. hehe.....
   
 6. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hii inanikumbusha Mwinamila na mashairi yake ya kuamasisha watu juu ya mambo mbalimbali ya nchi.

  Ahsante sana MKJJ
   
 7. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Aisehh! Mkuu MJJ hii imetulia sana. Natamani kama wadau kule Busanda wangeipata. Kula tano ndugu yangu. Sisiem sio MAMA alisema Nyerere!!
   
 8. J

  JokaKuu Platinum Member

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,781
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji,

  ..kulekule kwa Chinova ni wimbo uliokuwa ukiimbwa jeshini.

  ..nimeusahau maneno lakini umenikumbusha mbali sana.

  ..kweli kasi yako ni kubwa sana. hapa mtashikana mashati na John Komba, na Tambalizeni.
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jokakuu,

  Huu wimbo, JWTZ walikuja nao kutoka Zimbabwe. Walipokwenda kutoa somo la kijeshi kwa Mugabe, wakajifunza hizo nyimbo mbili yaani huu na ule wa "Uruyanga, uruyanga, .....uruyanga ku-Zimbabwe........." Nafikiri utakuwa umeukumbuka. Sijawahi uliza maana yake ila ntajitahidi kupata maana na maneno yake na kuyatuma hapa siku moja, inshallah.
   
 10. M

  Masatu JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni wimbo wa kishona na maneno yake halisi ni "Kure kure kutinova" maana yake tulikotoka mbali.

  Kuna baadhi ya maneno ya kishona yanaingiliana na kiswahili ukiondoa tofauti ndogo kama hiyo ya badala ya kule wao wanasema kure.... au nyama ya kuchoma "nyama nkuchoma" nk
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  May 18, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  nikiokota makopo wewe kinakuhusu nini?
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii inanikumbusha jaivin shule ya msingi miaka hiyooooooo, akiwa anakuja Nyerere tunafunga madarasa na kujipanga kando kando ya barabara na matawi ya miti tukipungia msafara wake. Big up Mkjj hizi nyimbo zinafaa sana kuhamasisha sasa badala ya kupiga kelele.

  "Kule kule kwa chinova, kule kule kuleeee kwa chinovaaaa, baba ee na mama wanasongana kuzimbabweeeee!. fileli moose mose aye elokwayo mama aye wansongana kuzimbabweeee!"
   
  Last edited: May 20, 2009
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
 14. Companero

  Companero Platinum Member

  #14
  May 18, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mwanakijiji acha kuwa na Historical Amnesia, kule tulikotoka tulikuwa tunaimba Chama Chama Kimetukumboa Chama na Chama chetu cha Mapinduzi chajenga Nchi...Huu sio wakati wa kurudi tena tulikotoka, ni wakati wa kusonga mbele na kwenda tuendako!
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  May 18, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ila sio siri wimbo huu unaamsha hamasa za mapinduzi ya kijamaa!
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Masatu,

  Hata neno ZIMBABWE ukilivunja vunja utapata neno kama la Kinyamwezi/Kisukuma na sijui makabila mengine mangapi yaani IZIMBA LYA MABWE au kwa Kinyamwezi INYUMBA LYA MAWE, nk na kwa kiswahili inakuwa "JUMBA LA MAWE". Na hii ni kutokana na majumba yao ya zamani walikuwa wanajenga kwa kutumia mawe. Kuna wazungu walifikiri kuwa jamaa zamani walikuwa na contact na wazungu kumbue ni Mipingo wenyewe walifanya vitu vyao.

  Kishona ni moja ya lugha za KIBANTU na ndiyo maana hata grammar zinafanana sana au tuseme ni ile ile. Sisi tukisema TUTAONANA, wao wanasema TITAONANA.

  Ukiangalia hapa utaona jinsi ilivyo karibu na Kiswahili. Lesson 2 - Introductory Shona
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mahadhi ya kisauzi kama vile!..Imba Mwanakijiji,imba baba!.Una talent ya uimbaji na wewe:)
   
 18. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  M.M nimekubali kabisa na haka kaujumbe kako.
   
 19. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku sasa soon utaokota makopo....by courtesy of Masatu.
  Heko Mwanakijiji ujumbe umefika
   
 20. O

  Ogah JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa uimbaji Mkuu Mwanakijiji........wimbo kama huu unahitajika kuhamasisha wananchi hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi 2010
   
Loading...