Kikwete tupe zawadi hii; na Utendaji wa Spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete tupe zawadi hii; na Utendaji wa Spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Feb 8, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hakuna aliyetemea kwamba Kijana msomi lakini masikini wa kutupwa wa tunisia alipojichoma moto na kupoteza maisha yake Mwishoni mwa Mwaka Juzi angeacha nyuma yake harakati za kuwaondoa madarakani Viongozi wa nchi zote ambazo wengi wa wananchi wao wamepoteza imani na matumaini ya uongozi wao. Mmoja baada ya mwingine wanaondoka madarakani bila kupenda, kote Africa na Arabia.

  Ukweli ni kwamba, nguvu inayowasukuma wananchi wa nchi zote zilizowaondoa Marais wao madarakani huku makumi elfu ya wananchi wengine wakipotezesha maisha yao ni DISSATIFICATION POWER.

  Kuna dissatification kubwa sana nchini sasa, na ni busara pekee ndio inaweza kutuokoa na mkondo huu wa hatari, sababu matokeo ya harakati hizi hayana mwisho mwema achilia mbali harakati zenyewe kuwa za jaziba na zenye madhira makubwa kwa wananchi wa nchi husika.

  Ni Rais Jakaya Pekee ndio anaweza kutuokoa na hali hii. Hivyo naomba atupe zawadi ya Kutangaza Uchaguzi huru, ama avunje bunge na mchakato wa uchaguzi uwe ni kwa ngazi ya ubunge na Urais au nafasi ya Urais Pekee.Na uchaguzi huu uwe ni huru na wa haki.

  Zawadi hii pekee ndio itatufanya tumkumbuke kwa mema, hata mambo yakiharibika huko siku za usoni hakika tutamlilia.
  Watanzania tukubaliana kumpa ofa ifuatayo
  1. Mshahara wake uongezwe mara kumi zaidi ya sasa
  2. Alipwe mshahara wa miezi yote ambayo ataisurrender mpaka kufikia mwezi wa mwisho wa urais katika awamu hii katika utaratibu wa kawaida.
  3. Na kwa sababu anapenda safari, alipwe Perdiem kwa siku zote zilizobakia kuanzia siku atakapotangaza uchaguzi mpaka siku ambayo ingekuwa ya mwisho kwake kama asingechukua maamuzi kama haya as if angekuwa nje ya nchi kwa siku zote hizo.
  4. Na apatiwe ulinzi wa uhakika kuliko marais wote wastaafu.
  5. N.k

  Hii itatusaidia watanzania kupata Rais Mbadala ambaye anaweza kutuvusha kutoka hapa, na hakika tutaepusha tunis syndrome,
  na kwa namna ya kipekee itabadilisha fikra za watanzania wote ambao kimsingi, wamekata tamaa na wanasubiri uchaguzi wa mwaka 2015 tu as if sasa hatuna rais. na hakika nguvu za kuwajibika zinaweza kuturudia

  Natanguliza shukrani zangu,
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280

  atafutiwe na chumba kizuri cha kupumzika either ukonga au segerea
   
 3. P

  Papushka Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na cameraman wa kumpiga picha kila anapotembelewa na maswahiba zake huko "room"
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  napita tu nitarudi baadaye.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wakuu sina mengi ya kusema,lakini ningependa tuijadili busara ya kiti cha spika yenye kuzidi busara zaidi ya 300 wanaowakilisha wananchi milioni 40+
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Warembo wawe wanaruhusiwa kumtembelea anapojisikia.
   
 7. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  mi nadhani busara ya kiti inaonekana imepoteza uhalisia kutokana na kukaliwa na watu wanao ona na wala si watu wenye upeo! Hawafaham dhamana waliyonayo ina adhari gani ktk mustakabali wa taifa. Mtu kama Makina, Ndugai, Silvester na Simba/Fisichawene, hawana uwezo kabisa wakukikalia kile kiti, nadhani wanachunga sana ndoa yao na mabwana zao ccm(mafisadi) kuliko maslahi ya taifa. Si dhani kama ni hekima kusema busara ya kiti inazuia kujadili swala la madaktari ili hali hao mnao wawakilisha wanakufa na wanatamani waskie watetezi wao wanaiambia nn serikal. Nadhani ujinga wao ndo unawatuma kufanya hvyo na wala si busara. Am sory to say this I wish Bi Kiroboto angeR.I.P, anatupeleka pabaya sana huyu mama, anarukia rukia tu maneno kama muuza bar wa manzese.
   
 8. I

  Iddy Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  Mkuu kwanini umechagua iwe ukonga au segerea?
   
 9. sterling

  sterling Senior Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inawezekana ikawa hoja ya msingi ila si kwa sampuli ya viongozi tulionao.....
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Huu ni ujinga wa mileniamu, Nitagombea ubunge nikasababishe, nitamkwida spika mpaka apumulie kwa nyuma, spika ni mbunge kama ambavyo nitakuwa, wajibu wetu itakuwa kuwatetea wananchi, hatanizuia, naomba kuungwa mkono.
   
 11. m

  mwikumwiku Senior Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu mtakumbuka wakati wakati bwana Jairo alipo alipowakwaza wabunge kwakuchangisha pesa kwa madai kwamba anaenda kuwahona wabunge ili wapitishe baketi ya wizara wabunge walikuja juu sana walitimia muda mwingi Wa bunge kumjadili bw Jairo! Pengine kwa sababu hili lilikuwa linawagusa wao!

  Zaidi ni pale ilipobainika kwamba Bw Jairo amesafishwa na CS ambapo waliamua kusimamisha shughuli zote nakuamua kujadili uamuzi Wa CS! Leo madaktari wamegoma kutokana na uzembe Wa baadhi ya watendaji wa wizara lakini kwa kuwa athari za mgomo haziwapati wao (wabunge na spika) spika anaamua kuleta siasa!

  Wapi standards!
   
 12. b

  busar JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Survivo of the fittest,
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hebu tuchambue tuone kama kuna tofauti yoyote kati ya hawa watu!
   
 14. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  spika yupo hapo kwa ajali ya mafisadi sio kwa ajili yako.
   
 15. samito

  samito JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  anaudh sana yaan yaan yaan dah!
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani waTz hatujachoka kiivyo, tungekuwa tumechoka tusingesubiria hadi 2015 tungemwondoa kwa nguvu ya umma ambayo ni sauti ya Mungu
   
 17. samito

  samito JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wote wako kisiasa zaid ukizingatia ndo wanamalizia, they have nothing to loose. tuwaombee
   
 18. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu kwa viongozi wa dizaini ya jk sidhani kama hata anafikiri kwa kiwango ulichofikiri, nafikiri siku zake ni nyingi mno kwa hali ilivyo sasa, kama ningekuwa yeye ningestep down immediately au ningevunja baraza la mawaziri na kuomba ushauri upinzani watu gani wangenifaa kwenye serikali yangu. Unajua uungwana ni vitendo. Jamani mambo ni magumu kitaa, kula mara tatu kwa siku ni ndoto hvi sasa. Mtanzania mwenzangu, TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
   
 19. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,188
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  daah! imenikumbusha mwanamke mmoja alipagawa na mashetani! akaulizwa kiti unataka nini? Akajibu! kiti taka damu taka damu! huku uso kama maiti! Au!
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mlie tuuu makinda ndiye waziri mkuu 2015 akiendeleza rekodi yake ya mwanamke wa kwanza..........network searching.......
   
Loading...