Kituko Wizara ya Afya, Blandina Nyoni haivi na Lucy Nkya, Hawasalimiani hata wakikutana kwenye kordo

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Ndugu zangu hii taarifa nimeipata kutoka kwa wandani wangu aliopo pale Wizara ya Afya. Kwamba Katibu Mkuu wa Wizara Bi Brandina Nyoni haivi na Naibu Waziri wake, Bi Lucy Nkya. Na inadaiwa kuwa hata wakikutana kwenye kordo huwa hawasalimiani. Kinachowazungumzisha ni Madokezo tu.

Taarifa inasema kwamba ugomvi wao ulitokana na kitendo cha Katibu Mkuu kutaka kumlazimishia kumpa Dereva (Elias Mkumbo) ambae ni Informer wake. Mama Nkya alipotonywa na watumishi wa pale akamkataa huyo Dereva na ali comand alitewe dereva aliyekuwa nae kutoka Wizara aliyokuwepo kabla kama sivyo abadilishiwe. Tangu wakati huo Wakuu hawa wa Wizara wamesusiana (Kama wanavyosema watu wa Pwani).

Brandina Nyoni amekumbwa na matukio mengi ya kususiana na Wakubwa wenzako toka alipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alikuwa haivi na hasalimiani na Waziri wake Bi Shamsi Mwangunga. Alipohamishiwa Afya mwishoni mwa 2008 pia akagombana na Naibu Waziri wa wakati huo Bi Aisha Kigoda na hadi anaondoka Wizarani hapo bado walikuwa hawaivi. Sijui huyu Mama ni Mtu gani? Maana hata watumishi wake kuazia alipokuwa Hazina, Maliasili na Sasa Afya wamekuwa wamkimkataa kutokana na Uongozi wake Mbovu wa kutojali maslahi halali ya watumishi wake mfano malipo ya likizo, uhamisho, extra duty allowances, etc!
 
yule mama mpuuzi sana.......hana lolote mwizi mkubwa na mpenda majungu...amejaa kiburi sana
 
Kuna mtu ameniPM anasema haya ndiyo madhara ya kuwapa wanawake Uongozi!
 
ktk uongozi ukisha ona mtu anapanga safu ya waleta habari juwa kwamba kiongozi huyo hajiamini na kunamengi maovu anafanya na anataka kupata mshindonyuma kupitia SHIHATA wake
 
Hawa wasiokubalika Jay Kei ndo anawapenda, akimtoa hapo hachelewi kumtupa kwenye ubalozi flani
 
Nimeisha andika ktk sredi moja juzi kwamba Blandina anapata kiburi kwasababu 'godfather' wake ni Pinda! Pale wizarani anamdharau kuanzia waziri kushuka chini!
 
Hayo nio madhara ya kuwapa wahasibu kuongoza afya, wangemwacha aendelee kuongoza kwenye masekata ya mahela huko walikozoea kuiba.
 
Hayo ni yale yale ya wale walioshindwa kuvuliana magamba na bado itafika wakati waziri kagombana na dereva wake na ni hatari kusikia Maafiosa wa ngazi ya juu kiasi hicho kutoelewana kwa sababu ni rahisi hisia zao kutawala utendaji wao na hivyo shughuli nyingine zikaathiriwa na hisia zao,

Na swali kubwa nikwamba Je usalama wa taifa unafanya kazi gani? ni jukumu lao kugundua siri hiyo mapema na kuchukua hatua inayostahili, Au wanafuatulia hali ya siasa na vyama vingine?
 
Kwa tunayemfahamu B.Nyoni...huyu mama ana jeuri ya hali ya juu.....kwanza ni very rich...wanadai mume wake tajiri lakini huyu mama nae personally ni very rich....katika project anazomiliki ni pamoja na catering services.....kila mikutano/makongamano/warsha/semina mikubwa yoyote ya wizara ya afya inapofanyika...basi huyu mama huwa ndie anatoa catering services zooote ....vyakula,vinywaji na huduma zoote zile za catering....mfano wakati wa vikao vya bajeti dodoma wizara zinapohamia kule basi huwa yeye ndie kampuni yake inatoa services kwa wizara ya afya.....hii ni moja ya deal zake...inasikitisha kusikia anawabania wafanyakazi wake wizarani wakati tender zote za catering huwa za kwake...sijui kama viongozi wa umma kama yeye wanaruhusiwa kufanya kazi za biashara wawapo madarakani lakini ukweli kwa huyu katibu wa wizara ndio huu...kwa kifupi hana tofauti na mafisadi wengine katika utawala huu...ila she plays it soo smartly....pia anakula na wakubwa wakubwa zake....just like Jairo....
 
Na huwezi amini, huyo ndiye sababu ya mgomo wa madaktari unaoendelea. Niye aliyelazimisha intern warudishwe wizarani na kuwapangia hosp nyingine na kisha kusababisha mtafaruku tunaouona hivi leo. Kwa maono yangu kama serikali leo itamfukuza kazi Blandina ( Haji na Nkya hao ni watumishi wa Blandina) na hata kama haitakuwa na majibu ya moja kwa moja ya hoja za madokta watarudi kazini kesho yake; huyo mama ni kikwazo kikubwa, Madokta wanasema kama atakuwa bado ni katibu wa wizara ya afya bora wafukuzwe kazi kuliko kurudi kazini.
 
Back
Top Bottom