TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo.

Kkatika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..


NAOMBA KUWASILISHA


attachment.php
 
Serikali ndiyo inataka hivyo!! Viongozi hawaogopi tena kuongopa/kuongea uongo ilimradi waendelee kuwepo madarakani. Hii ni tosha kuwatia nguvuni viongozi wote waliosababisha hali hii, lakini kwa magamba ni tofauti kabisaa. Too sad!!
 
Damn afu nina tumbo la kuhara, hivi Wabunge hawawezi kutibu??
Kama hawawez wabadilishane posho na madokta
 
Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....

Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.

Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?
 
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo katika mbao za matangazo kuwa leo hakuna kazi huku kukiwapo na taarifa Madaktari bingwa wa hospitali hii wamekuwa wakionekana katika makorido ya hmakorido ya hospitali hiyo wakijadili mgomo na kuwepo kwa tetesi kuwa walikuwa na mpango wa kukaa kikao cha kujadili mgomo na kuweka tool down..


NAOMBA KUWASILISHA

Yaani hao jinsi ninavyomfaheemu Bw. PINDA siku akienda huko!!!!!!!!

EEEEEEHHHHH!!!! atawambia kuwa wasiporudi kazini hadi kesho asubihi atawaleta Wanajeshi toka Rwanda na Burundi kwenda for replacement.

:flypig::flypig::flypig:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
SErikali ikiambiwa iko lege lege inakataa. JEI KEI yuko wapi aokoe hili jahazi? Mbona mambo yote yanawezekana? Mbona tulikuwa tunalipa Richmond kila siku milioni mia na usheeee?
 
bungando sio ya kanisa? hivi wanakuwa wauji kiasi hichi? Bora tu huu makataba wa MOU uvunjwe

Wauaji siyo Kanisa au Bugando bali wauaji ni JK, PINDA, MPONDA, NKYA, NYONI. na nyie wote mnaoshabikia SERIKALI LEGELEGE INAYOTOA KAFARA WANANCHI WAKE ISHINDE CHAGUZI

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Inabidi sasa pinda achukue madaktari wengine toka magereza,..
wengine toka FFU,....
wengine toka zimamoto,...
wengine toka mgambo,...
na kwingne alikodai atapata sijui CUBA,.....

Upuuzi kweli kujidai wewe ndio wewe na bila wewe hakuna kinacho wezekana.
Nawapongeza sana madaktari ingawa binafsi ni mhanga wa mgomo wenu lakini
potelea mbali.

Pinda show us what you've got now.
Wataalam wako wa JWTZ na JKT vipi wameweza?
No balls!
 
Nadhani sasa in a way wanamlazimisha Rais JK atoe kauli yake ambayo ni thabiti.
 
Si shangai. Kama hospital za kidini zinaua watu kwa manufaa ya kisiasa. Lkn hata rwanda yalitokea mauji kama haya
 
Huu mzahamzaha wa akina Bi Kiroboto UTATUMBUA USAHA haraka sana nchi hii!
Ingekuwa ni Northern Africa, looooooo!...zamani sana watu washasambaa RED SQUARE!

Tanzania ina kila kitu,.....
Ila haina watanzania tu.

Ndo maana kila mtu ananoa kisu akate nyama aende kwao.
 
Back
Top Bottom