mochwari katika hospitali ya temeke yalemewa na maiti kutoka 15 hadi 39

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
kutokana na mgomo wa madactari unaoendelea nchini kote , hali katika hospitali ya temeke inazidi kuwa mbaya baada ya madactari wa hospitari hiyo kusitisha huduma,wagonjwa wanazidi kupoteza maisha na kusababisha kuongezeke kwa vifo ambapo uwezo wa mochwari kuhifadhi maiti ni 15 na sasa hivi imeongezeka kutoka 15 hadi 39 kwa siku , maiti zikiwekwa mbili mbili sehemu moja , msimamizi wa mochwari alalamika kutokana na hali hiyo kuzidi kuwa mbaya

source taarifa ya habari channel ten
 
hivi haiwezekani muhimbili yoote tukaibadilisha iwe mochwari?
tuwetunajiandaa kuzikana tuu bcs we will die anyway!
 
Inauma sana,ila ninashukuru sana kwa madhara kuwa makubwa Dar,hampendi mabadiliko eti mko busy kuuza vile vipweza na vcd feki na mnajiita wajanja,acha ccm iwa kameruni kisawasawa:Dar Es Salaam CCM oyeeeh!
 
Kwa sasa badala ya kuongeza wards tutakuwa tunaongeza mochwari,nina hasira sana na hii serikali ya kisengesenge, MODS please I'm right
 
kutokana na mgomo wa madactari unaoendelea nchini kote , hali katika hospitali ya temeke inazidi kuwa mbaya baada ya madactari wa hospitari hiyo kusitisha huduma,wagonjwa wanazidi kupoteza maisha na kusababisha kuongezeke kwa vifo ambapo uwezo wa mochwari kuhifadhi maiti ni 15 na sasa hivi imeongezeka kutoka 15 hadi 39 kwa siku , maiti zikiwekwa mbili mbili sehemu moja , msimamizi wa mochwari alalamika kutokana na hali hiyo kuzidi kuwa mbaya

source taarifa ya habari channel ten

yap nimeona ITV pia wametangaza,ingawa boss wa pale anasema hakuna mgomo.
 
Inauma sana,ila ninashukuru sana kwa madhara kuwa makubwa Dar,hampendi mabadiliko eti mko busy kuuza vile vipweza na vcd feki na mnajiita wajanja,acha ccm iwa kameruni kisawasawa:Dar Es Salaam CCM oyeeeh!

duu mbavu zinauma,unayosema ni kweli Dar wanajifanya wajanja ila vilaza wengi
 
Back
Top Bottom