Tofauti ya Pinda na Lowasa ni ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya Pinda na Lowasa ni ipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Feb 8, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania hivi nchi hii ina Waziri Mkuu Mtendaji au ni waziri Mkuu kivuli. hivi huyu pinda anafanya nini na hivi huyu anatafuutina na Lowasa kwa lipi? Inasikitisha sana Waziri Mkuu kuwa na mawazo mgando kama ..........................
   
 2. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  LOWASSA ni mchapa kazi, akisema kitu kifanyike lazima kifanyike hata kama ni kibaya. PINDA analialia tu
   
 3. B

  BMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  mi nimeshachoka na jk na pinda wake jaman
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  hawa wanasiasa wametushosha,sioni umuhimu wao,w.mkuu anashauriwa na makanjanja,alisema kwa mineno yake kuwa madaktari warud kazin na leo amedhiirisha kukosa alama za uongozi!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,745
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  1.lowasa ana mvi pinda hana, lowasa ni mpiga dili za utapeli pinda ni mliaji,.......
   
 7. h

  hayaka JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  lowasa ni fisadi na pinda ni doko!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ninavyojua Pinda ni remote ya Lowassa na Jk. Sioni sababu ya maana kumsifu EL.
   
Loading...