Mgomo Baridi wa Wabunge waendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo Baridi wa Wabunge waendelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Feb 8, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Habari kutoka Vyanzo vya ndani ya Bunge vinatuambia Mgomo baridi unaendelea kati ya Viongozi wa Kuu wa nchi na sasa Unaingia katika Uongozi wa Juu wa Bunge na Wabunge
  Wabiunge walijipanga kuchachafya Serikali juu ya Mgomo wa Madaktari lakini kwa Hila za Nguvu za Uongozi wa Juu wa Bunge
  Wabunge wa Chama cha Mapinduzi(wa Majimbo)wanataka kujua ni nini wata waambia wananchi wao Kuhusu Mgomo wa Madaktari kama mjadala hautaruhusiwa hapa Bungeni ili wajisafishe..
  Kwa upande wa uongozi wa Bunge wameamua kuwa delay kurusu mjadala hadi wawe na jibu toka Hazina kama kutakuwa na Ongezeko katika Makusanyo maana Ongezeko halipo katika Bajeti,
  Pia Leo Wizara ya Fedha imemleta Gavana Bungeni ili kuwaambia ukweli kuhusu Fedha zilizokusanywa na akiba yake kwa miezi 6.
  Wabunge wa Chadema wao wasisitiza kuwepo katika Semina ya Fedha halafu,baadae Mchana wakatafakari kwa pamoja ili kubaini Uongo wa serikali kwa Kuimba Uchumi unaokuwa huku hautafsiriki kwenye Maisha ya Kawaida
  Wabunge wa CCM kwa upande wao wqamejipanga kujua kwa nini Mkulo alisha wakati Zito alisema nchi Imefilisika?
  ...Mgomo mkubwa ni siku ya Ijumaa am bapo Hoja ya Kuahirisha Bunge Haita ungwa Mkono na Wabunge Hadi Mjadala kuhusu madaktari Ujadiliwe ili Wabunge wajisafishe,hasa wale ambao Majimbo yao yamekumbwa na Mgogoro.
  Nawasilisha....
   
 2. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  technically, wakigoma kuahirisha bunge watalipwa kuendelea kukaa dodoma? Hautakuwa mgomo sasa huo ni kutafuta mbinu za kupata mafao zaidi! Siwakatae kesho! Sasa kusubiri hadi mwisho kwa manufaa ya nani! Kama wanauwezo wa kukataa hiyo ijumaa wakatae sasa!

  Hawa viongozi umefika muda wa kuwasaidia mawazo maana kufikiri wao wenyewe inakuwa ngumu kwani na wenyewe ni wahusika wa migogoro inayoendelea
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180


  duu patamu hapo, ...! kwani ile kura ya kutokuwa na iman na rais haipogi jamani??? big up SHELUKINDO
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bunge livunjwe ili tuchague vichwa maana wengi waliopo ni mafisi maji koko!!
   
 5. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  natamani kuona maamuzi magumu yakifanyika
   
 6. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuhusu mgomo wa madaktari ni kwamba kamati yaBunge imeshamaliza kazi yake na hivi sasa ipo njiani kuelekea Dodoma.
  Kunauwezekano report ya kamati ya Bunge ikajadiliwa kesho bungeni.
  Lakini kamakawaida haina jipya zaidi ya kuwa na maoni sawasawa na ya Serikali maana hawawote lao ni moja a.k.a CCM.
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Selikari imeshakwama
   
 8. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa, ila punguza papara wakati wa kuandika ili usomeke.
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  umesomeka mkuu maana napoeka taarifa kwa CM huku naandika
   
 10. B

  Bwanamdogo Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hawana jipya nadhani ni wakati muafaka kwetu wananchi kuwaadabisha
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Itabidi sasa wakati wa Mjadala wabunge wapigane kupata Nafasi ili angalau ionekane Mbunge kalisemea Jambo hilo
   
 12. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umeeleweka kwa shida kidogo. Hawa jamaa wakubali kukabiliana na ukweli, hakuna kinachoshindikana wakuu labda waseme hawana nia na vipaumbele kwenye mambo ya msingi.
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mjadala huu wa hoja ya dharura wanaokwamisha ni CCM,maana Spika na Naibu Spika wanafanya delaying tactics ili either jambo liishe hivi au wapate jibu ambalo limewashinda kwa sababu za kulindana,na hawa spekers hawataki kuruhusu mjadala kwani wanajua wazi serikali itapiga mweleka,kumbe wanavyozidi kuuzuia napo wanachochea hasira za watu na Madaktari.lakini pia nimekuwa nikipita huku na kule na nikabahatika kupita kwenye local saloon ya kiume nikakuta watu wanajadili jambo hili nikapata picha hata watu wa kawaida wanataka kujua serikali na bunge wanasema nini.
  Na hao wabunge kama wanataka kugoma si wangegoma leo au wanataka tu kujiongezea posho watakapokataa kuiunga mkono hoja ya kuahirisha bunge?
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  walianza wabunge CDM wakatoka mjengoni mkawacheeeka mkajiona nyie bora eti kisa upo wengi (wengi wape) sasa kulikoni, yamewafika shingoni ee? mnajidharaurisha machoni mwa wapigakura wenu ukweli ndiyo huo; watu wanakufa mama yenu anakataa kupokea taarifa wala mwongozo kisa yeye ndiyo mwongozo na yeye ndiyo taarifa; sasa tulieni mshuhudie watu majimboni kwenu wakipukutika.

  wabunge wa CDM tunawapongeza sana, mliliona hili mapema ndio maana mkatoka mjengoni siku ya kwanza tu kabisa ya jamaa kuja kuongea nanyi.
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi bungeni gumu sana kuvunja?rais anashindwa nini?aombe msaada tutamweleza muda mbao watakuwa wanasinzia ndipo avunje.
   
 16. K

  Konya JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  huu ni ugonjwa walionao watawala wetu kwenye mihimili yetu yote mitatu,tuombe Mungu ikitokea yafanyike
   
 17. R

  Romee Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wagome tu tuone ,tuna taarifa ya mh shelukindo kudaiwa na bank moja ya jijini dar mamilioni,wakati wowote atakamatwa,asishabikie tu ya kudhalilishwa kuhusu rais kurudisha muswada na kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais,akumbuke na kulipa madeni na wengine wakope.
   
Loading...