Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.

Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.

Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.

My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
 
CDM ni wachemfu sana, hilo mie nalijua tangia long time. Ila wachache wasio jua na ambao hufuata mkumbo kibubusa ndio waliobakia huko. Ngoja uone watakavyo kuja juu muda si mrefu

 
Kichefu chefu hiki.

Kwa taarifa yako CDM inatwanga kote kote! Kwa wengi na kwa wachache pia japo ulichokiweka hapa hakina ukweli wowote
 
..they don't have to get it right the first time.

..next time wanaweza kwenda na hoja tofauti itakayowavutia wananchi wengi wa Tanga.
 
Wa hovyo si ni yule anajifanya ana taarifa kumbe anafanya imaginations tuu mchana kweupe. Kamwambieni Nape awape posho za kujipanga upya alafu mje na hoja hapa

Kitu kidogo Nape kawatuma!!pale CDM wanapochemsha lazima tuseme.
 
Tupe picha za mikutano mkuu,la sivyo una tofauti na wambea wanaokaa kupiga domo wakati hawana vithibitisho.

Ok,nitaweka picha uone wanafunzi wa Nursery walivyorundikana kwenye mkutano wa Naibu k/mkuu na k/mkuu uenezi.
 
Siku zote huwa nakusoma namba yako.

Kumbe nimegundua Mr Mzumbe ni zero over any number kwani unazungumza vitu visivyo na data,wenzio tulikuwepo tumejionea namna wananchi walivyo mu understand ZkZ na hatimaye CDM Kuvuna wanachama vijana kwa wazee mkoani tanga.

Acha kutumia jina la Mzumbe vibaya, ni lazima ujitahidi twe great thinker Mtz.
 
Mzumbe, unaamini CCM ina mvuto? Kama CDM haikupata watu wengi Tanga hata CCM haiwezi kupata isipokuwa wamewawezesha hao watu kuhudhuria.
Kama ni kweli wana Tanga hawahudhurii mikutano ya CDM basi tuwahurumie, wako mbali sana na ukombozi wa nchi yao.
Hata hivyo si ajabu, kwa kumchagua Maji marefu tu, std 7 na mganga wa jadi ni jibu tosha kuwajua watu hao. Pengine wanaogopa Majini ya Maji marefu.
 
Ngoja nikusaidie picha za watoto....

A%5B1%5D.JPG

Ok,nitaweka picha uone wanafunzi wa Nursery walivyorundikana kwenye mkutano wa Naibu k/mkuu na k/ uenezi.
 
Siasa za maji ya chooni umezileta hapa kitoto alafu too late.

Hebu concetrate na arumeru kwa mda huu alafu aprili mosi tutajadili na kupima movement za vyama vyote kwa ujumla.

Tofauti na hapo, kazi ya u-green guard inahitaji uwe na akili ya mwendawazimu
 
CDM ni wachemfu sana, hilo mie nalijua tangia long time. Ila wachache wasio jua na ambao hufuata mkumbo kibubusa ndio waliobakia huko. Ngoja uone watakavyo kuja juu muda si mrefu


mfuata mkumbo ni yule asiye na hoja ila kudakia kwa kwa kauli kama mbona,mimi nilijua,ingekua,na wewe ni mmoja wao hao aliyeishiwa sera kichwani mwalimu nyerere kuna jina aliwaita watu wa namna yenu!ila mimi sitawaita hivyo!me naomba niwaite vilaza
 
Back
Top Bottom