Eddo for 2015 presidency

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Kutokana na taifa letu kuwa ICU kifwdha kwa sasa, tunamuhitaji mtu mchapakazi ambaye atazalisha zaidi. Haijalishi kama atatumia 60 baada ya kuzalisha 100, kwani 40 alobakisha itawafanyia watanzania mambo ya maana kuliko yule anaezalisha 5 halafu hatumii chochote.

Wakati wa kupembua pumba na mchele umefika sasa kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuachane na siasa za maji taka za wanaomchafua mtu fulani aonekane mbaya mbele ya jamii eti kisa tu 2005 alichafua watu wao.

EDDO FOR 2015 PRESIDENCY
 
Tumechoka na mafisadi, mwacheni aendelee kusafisha nyota yake misikitini na makanisani hadi 2020
 
Kutokana na taifa letu kuwa ICU kifwdha kwa sasa, tunamuhitaji mtu mchapakazi ambaye atazalisha zaidi. Haijalishi kama atatumia 60 baada ya kuzalisha 100, kwani 40 alobakisha itawafanyia watanzania mambo ya maana kuliko yule anaezalisha 5 halafu hatumii chochote.

Wakati wa kupembua pumba na mchele umefika sasa kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuachane na siasa za maji taka za wanaomchafua mtu fulani aonekane mbaya mbele ya jamii eti kisa tu 2005 alichafua watu wao.

EDDO FOR 2015 PRESIDENCY

Naona njia ya kumchafua Nyerere imewashinda nyie vibaraka wa EL mmeamua kuja na njia mpya. Halaf mbona mnatumia strategies za kizamani sana? EL must be very stupid to pay you for the campaign!
 
acheni kuota! haitakuja kutokea huyo jambazi kuwa rais wa tanzania hata ahonge misikiti na makanisa yote!
 
Here they come again! Jamani hii chorus inaanza kuchosha. Kufikia 2015 Lowassa litakuwa ni jina tu kwenye magazeti yanayotumiwa msalani.
 
CCM wampitishe waone!

kifo cha kujitakia kinakuja! kwani mchapakazi ccm ni yeye peke yake? na je uchapakazi wa kuiba na kupatia watu sumu ni kigezo cha kupewa urais? you just wait u will see!
 
Kutokana na taifa letu kuwa ICU kifwdha kwa sasa, tunamuhitaji mtu mchapakazi ambaye atazalisha zaidi. Haijalishi kama atatumia 60 baada ya kuzalisha 100, kwani 40 alobakisha itawafanyia watanzania mambo ya maana kuliko yule anaezalisha 5 halafu hatumii chochote.

Wakati wa kupembua pumba na mchele umefika sasa kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuachane na siasa za maji taka za wanaomchafua mtu fulani aonekane mbaya mbele ya jamii eti kisa tu 2005 alichafua watu wao.

EDDO FOR 2015 PRESIDENCY

Ni yule eddo wa mwanaspoti au?
 
to hell with that devil called eddo.lazima tuwe na akili hatuwezi kulea na kustawisha utaratibu na utamaduni wa kuuibia umma.tunahitaji watu wasafi na watakaowajibika
 
mimi nakubaliana nawe kabisa, kwanza EDDO ni mtenda kazi, jasiri, anaanimi maendeleo katika kufanya kazi.EDDO FOR 2015 YES...SOUTH AFRICA//TANZANIA
 
Huyo jamaa Eddo Urais atausikia kwenye .
Ameukamia utafikiri mtu anayetafuta bibi mzuri kwa udi na uvumba.
Mshaurini aendelee na biashara sake za Barare,Alpha Group na Radio 5.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
 
Back
Top Bottom