"CUF" je hili la udini,bado mnabisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"CUF" je hili la udini,bado mnabisha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by commonmwananchi, Feb 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kwanza mlisema ni propaganda za kisiasa,lakini tukashuhudia mzee James mapalala akiondolewa,hatimae akafuatia Wilfred Rwakatare.

  Tumeshuhudia mara kadhaa kwenye kampeni zenu majukwaani jinsi zinavyoghubikwa na mavazi mbalimbali ya kiislamu ,asilimia 85% ya wahudhuriaji.Lakini pia hata mfumo mzima wa burudani zinazoandamana na kampeni mara zoote ni mashairi yenye mithili ya mhadhara wa mahubiri.

  Sasa "top" ni kauli ya Mheshimiwa Jussa Ladu hivi karibuni akiongelea sababu za CUF kubwagwa na CDM katika uchaguzi mdogo kule uzini zanzibar,aliponukuliwa na vyombo vya habari kwamba mojawapo ya sababu ni uwepo wa Wakristo wengi katika jimbo hilo.Pamoja na wingi wa watanzania kutoka bara, katika eneo husika.

  Kama hiyo haitoshi CUF imejitoa kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mdogo katika jimbo la arumeru mashariki baada ya kufanya tafakuri na kuona kwamba haina uungwaji mkono wa kutosha jimboni humo (ambako kwa 95% ni wakristo).CUF haikusema kama hiyo ndio sababu rasmi.
  Je kwa hayo machache CUF mna ubishi kuhusu suala la udini?
   
 2. M

  Mayuka Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa CCM B,kwisha habari yao,wamebaki matepeli tu ndani ya CCM B.
   
 3. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye RED ndo kwenye utata! kwa sensa ipi ndugu ! kwa mtazamo wangu mimi naona CUF wanefanya maamuzi yenye busara sana, kwa nini upoteze mamilioni ya pesa wakati unajua uwezekano wa kushinda ni mdogo?
   
 4. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wambishie nani sasa?!
   
 5. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kakauona!, hapo kwenye "RED" nimetumia historia ya jimbo lenyewe pamoja na majina ya wagombea toka vyama vyoote waliochukua fomu kutaka nafasi hiyo ya uwaskilishi mpaka sasa.
  Je CUF kwa nini hawatowi kauli rasmi ya chama gani watakiunga mkono?
   
 6. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Rev ! Nakushukuru kwa mchango wako,mimi nilidhani niko peke yangu mwenye kuwaona wenzetu hawa kwa mtazamo huo,hivyo nikapenda kuyaweka hadharani ili niweze kupata maoni yenu wadau.kwa sabnabu kuna wakati ilikuwa kama ukiwaambia ukweli huu wanakuchapa bakora!
   
 7. m

  mliho New Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Very good observation, lakini wadau naomba analysis hizi zifanyike kwenye vyama vyoote, na wa kina ufanyike CDM angalieni link yake na kanisaa! Lets be free minded
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  HR party mtashiriki?
   
 9. F

  Falconer JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  @commonmwananchi, samahani ndugu unapotosha ukumbi. Uliyoandika hayana ukweli. Toa "exhibit" ya kutosha kwani vyenginevo ujieleze kwa kina ulilokusudia.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu wakristo ni zaidi ya 99.9 kule Meru. Hata hivyo isingekuwa kigezo cha kutomsimamisha mgombea, kwani nawakumbuka pamoja na jimbo la Hanang kuwa na wakristo wengi, CUF waliwahi kumsimamisha mgombea kutoka Tabora, ambaye alikuwa Shekhe. Lazima kuna secret reason behind the decision
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Toa ujinga hapa JF
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Haloooooooo.Alisimamishwa nani eti? Sheikh!!!!!!!!
   
 13. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sometimes najiuliza sana uhusiano wa dini na siasa, na ni nani wa kumsaidia mwenzie?
   
 14. D

  Do santos JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo kuwa na mgombea sheikh ni kashfa au kosa? mbona chadema ina mbunge ambaye ni mchungaji na hata ccm vilevile wanao wabunge wachungaji.Katibu mkuu wa cdm na mgombea urais aliyeshindwa uchaguzi 2010 pi alikuwa padri,mbona hamsemi,au ndo mfumo kristo.kama utaihusisha cuf na uislam usisahau kuwa hata cdm ni ya wakristo
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndio cdm wanagombea kwasababu wakristo ni wengi ok...tumeelewa
   
 16. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ahsante mkuu Falconer!,kwa hali halisi ya CUF na matukio ya hivi karibuni, haihitaji ushahidi mkubwa kuthibitisha niliyoyasema na ndioo maana nikamnukuu Mheshimiwa Jusa (mb).kwa kauli aliyoitoa.

  Isitoshe kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za vyama vingi nchini, ebu vuta kumbukumbu ya mwenendo wa kampeni za urais 2010. Nafikiri unakumbuka Prof Lipumba alijikita zaidi maeneo yaliyo na waislamu wengi akianzia Dar es salaam, Mtwara,Tanga,singida na hatimae Tabora na kigoma.

  Naomba unitajie jina la mbunge wa CUF hata mmoja ambaye ni muumini wa dini tofauti na islam?
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Magdalena
   
 18. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ahsante mkuu Nimie!,hili swali zuri sdana na ninaomba limfikie Mh jusa kwani tunae humuhumu JF!
   
 19. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Ameolewa na nani? Kama sio muislamu basi atakuwa mbunge wa VITA MAALUM. Wale wa kuongezea Ndiooooo!
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nitajie mbunge muislam chadema please? kama yupo?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...