Chadema Live kutoka Kimara Bonyokwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Live kutoka Kimara Bonyokwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matope, Feb 25, 2012.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wa JF kuna post moja nilisoma humu JF ikisema kuna leo jumamosi kuna mkutano wa chadema kimara bonyokwa pls mwenye taarifa anijuze kama kuna mabadiliko yoyote kwani nimejiaanda vema kusikia hotuba za viongozi wangu wakuu kama Heche,Mnyika Tundu Lisu na Mdee,mwenye uhakika na taarifa zozote atujuze
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mkutano upo mkuu nadhani maripota wa JF wako huko watupe live coverage tafadhali
   
 3. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nakushukuru kwa kunihakikishia kuwa mkutano upo ila hao makamanda mbona respond yao ni negative?watujuze hayo maandalizi cos nipo hapa viwanja vya bonyokwa naona hakuna kinachoendelea
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mbona nimeona bandiko la Heche kwenye FB wall yake anasema ni kimara mavurunza?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Umeambiwa mkutano upo tangazo lipo kwenye FB.
   
 6. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Jamani mkutano umeanza au haupo?makamanda walioko kwenye tukio pls any updates?
   
 7. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nipo hapa kimara bonyokwa live,sasa zinaimbwa nyimbo za ukombozi wa taifa juu ya mafisadi,si muda mrefu nawaletea picha
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Tuwekee picha mkuu, ikiwezekana na ujumbe wa sauti kabisa
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,154
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Shusha vitu mkuu...mapambano daima.
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kuna tukio gani kimara ndugu?
   
 11. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Tunasubiri picha mdau
   
 12. M

  Mayuka Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapambano Daima,CCM kwisha habari,huku Iringa Mchungaji Msigwa anapiga mkutano wa 5 bado mikutano 12 ili itimie 17 ambayo imepangwa ifanyike,huko Tanga nako makamanda kina Zitto wamepinga mikutano ya kufa mtu! Viva Chadema.
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,960
  Likes Received: 2,689
  Trophy Points: 280
  upo njoo ita na wengine
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  CDM mvute tena hamna!!
  Mnatapatapa tu
   
 15. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Ccm tiiiiiiiii, chali.........." chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mwaka huu milembe panahusika...
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Chadema kweli mmekosa mvuto. Hebu ona Sredi yenu haina wachangiaji!!!
   
 18. Eistein

  Eistein JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,107
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kaka tunaomba picha tafadhali, ili ritz aamini kuwa chadema ni zaidi ya anavyoifahamu, ritz msalimie faiza foxy kwisha habari yenu na 2015 mtaihama nchi hii.

   
 19. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wacha longolongo...wachangiaji tupo tele mkuu...tunapima upepo...hii ni week end bwana...waweza kurupuka kuchagia wakati zimo kichwani...ukaa mbulia ban.:Hahahaaaaa!
   
 20. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,332
  Likes Received: 4,766
  Trophy Points: 280
  safi sana makamanda..
  peoplesssssssss
  powerrrrrrrrrrrrrr..........
   
Loading...