Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by king11, Feb 24, 2012.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo kitashinda Arumeru.  Source:Nape Mnauye
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  alikuwa anaongea na nani? mnona kama haueleweki vile!
   
 3. k

  king11 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kisichoeleweka ni nini ? au unatatizo la kusoma vizuri?....nilimpigia simu binafsi akatoa majibu hayo
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Weka namba yake ya simu hapa tumuulize kama ni kweli...

  Usije kuwa unatafuta cheap popularity. By the way Nape ni mwoga tu, afadhali hata Mwigulu yuko front anavizia mabinti wa Meru
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Weka sauti ya wakati ukiongea nae
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata kama siyo nape katoa hayo maneno ila hakuna asiyejua ccm ipo jirani kabisa na kaburi ila wanachofanya sasa ni kujipa matumini tu
   
 7. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kasema kweli. Sababu watakuwa hawakuweza kuchakachuwa. Wakishindwa Armeru watawezaje 2015?
   
 8. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Arumeru Mashariki ni jimbo moja tu, hivyo kwa akili timamu mtu huwezi ku-conclude kifo cha chama kwa kushindwa jimbo moja.
  Kufa kwa CCM kupo tu, washinde au wasishinde Arumeru. Tungefurahi kumsikia akikemea kwenye vyombo vya habari matumizi ya rushwa huko badala ya kuongea unafiki kwamba CCM ni chama makini na imara; umakini wao uko wapi?
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nepi ni jalala la CCM. Hajitambui na pia ni kuwadi la magamba.
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nape karibu arusha, wazee wa kimeru wanasila ya kuzalilishwa na tendwa. Wanakusubiri we domokaya nape na yule mzinzi Migulu ya Chemba
   
 11. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijui kama mtarud salama......v
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Iwe kweli au uwongo, ni kwamba ccm inajichimbia kaburi lenyewe. Arumeru hawana chao!
   
 13. G

  Godwine JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nape atakiwi kuongelea mambo ya Arusha kwani kuna wafalme wa kule
   
 14. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna watu wanaishushia jf heshima yake
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kigumu chama cha mapinduzi
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  inachukiza sana kuona watu wazima wanakosa subira na kuanza kuropoka na kutoa matusi hapa jukwaani.kwanini tusijifunze kukosoa bila kutukana???????????/
   
 17. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tujaribu kusema mantiki, kumbuka hta watz walioko huku Ulaya wanawashangaa wale wanotumia jukwaa hili vibaya.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ulikua hujaeleweka mkuu, usijibu vibaya bila sababu, labda wewe ndio una matatizo ya kuandika

  umesema kupitia simu yake ya mkononi.... hukusema liakua anaongea na wewe!!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwahiyo nape hana akili timamu sio?
   
 20. H

  Honey K JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakika, NASEMA KWA HAKIKA NDOTO ZINGINE NI ZA AJABU SANA, KUNA WATU WANAOTA MPAKA WANADHANI NI KWELI NDOTO ZAO ZINZTIMIA KUWA CCM INAKUFA.....BY THE WAY KADRI MNAVYOIOMBEA MABAYA CCM NDIVYO MNAVYOTUOMBEA AFYA NA MAISHA TELE...SO ENDELEENI KUOTA
   
Loading...