Pendekezo: Joshua Nassary apeperushe bendera ya CHADEMA Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo: Joshua Nassary apeperushe bendera ya CHADEMA Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtabe, Feb 25, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau mimi napendekeza CDM kumpitisha J. nassary kupeperusha bendera ya chama huyu kijana yupo fiti namfahamu
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sijaona umuhimu wa kuanzisha uzi huu japo una wazo zuri!
   
 3. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama wewe hujaona usichangie chochote
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Taratibu za chama zita amua.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Chama makini bila shaka kitaufuata utaratibu wake makini wa kuteua atakayepigiwa kura!!!!!!!
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Molemo, kaishasema chama tayari kimeishampitisha Nassary, kama mgombea rasmi wa Chadema jimbo la Arumeru Mashariki.
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama Sioi alivyopitishwa kilazima na chama cha majambazi
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa upeo ma ufahamu wako Molemo ndiyo CDM au?!!!
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Joshua Nassari ndiye tunayemtegemea apeperushe bendera ya CDM na kama wakifanya mistake kumteua mtu mwingine huo uchaguzi hautakuwa na msisimko na wanaweza kupoteza jimbo kwa huo uzembe
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Acha kupandisha munkari wewe, jamaa ana hoja ya msingi.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Molemo ni nani ndani ya CDM? Acha kutumia akili za kuokota
   
Loading...