Pinda acha unafiki wako kuhusu askari hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda acha unafiki wako kuhusu askari hawa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Feb 26, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  [TABLE="align: left"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]
  [TABLE]
  [TR]
  [/TR]
  [TR]

  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"][TABLE]
  [TR]
  [TD="width: 71%"]
  [TABLE="align: left"]
  [TR]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Headline"]

  Pinda ashtushwa askari kuishi nyumba za tope
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda juzi alishtushwa na nyumba za tope wanazoishi askari Magereza katika Gereza la Kanegere lililopo Kata ya Masumbwe wilayani Bukombe.

  Waziri Mkuu alishtushwa na nyumba hizo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Gereza Kandindus Shawa kuwa askari hao wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa nyumba bora za kuishi kwa muda wa siku nyingi wakati akikagua shamba la muhogo la Gereza hilo.

  Pinda alisema kutokana na yeye mwenyewe kujionea nyumba hizo zikiwa mbovu atajaribu kuongea na Kamishna wa Magereza nchini ili kuona uwezekano wa kuweza kutatua tatizo ambalo limekuwa kero kwa askari hao.

  “Yaani nimepigwa na butwaa baada ya kuona askari wa Magereza wakiishi katika nyumba za udongo kama hizo, nitamweleza Kamishna wenu ili aweze kuwatatulia tatizo lenu hilo,” alisema Waziri Mkuu.

  Naye Mkuu wa Gereza hilo Shawa katika taarifa yake ya kilimo cha zao muhogo kwa Waziri Mkuu alisema kuwa muhogo unaozalishwa na Gereza la Kanegere husaidia wafungwa wa Gereza la Kanegere na lile la Kahama badala ya kutegemea uji unaopikwa kila siku.

  Alisema pia kiasi cha muhogo unaobaki katika shamba hilo huuzwa na hivyo kujipatia fedha za kuendeshea Gereza hilo pamoja na mambo mengine madogo madogo yanayoweza kutokea wakati wowote.

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text"] SOURCE:HABARI LEO 26/2/2012
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Text"] [TABLE]
  [TR]
  [TD][TABLE]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hawa ndo vingozi wa TZ kama president hajui kwanini nchi yake ni maskini unafikiri ataweza tatua matatizo ya wananchi?
   
 3. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haya mambo ya Politik tulishazoea! Huyu mtoto wa mkulima ameisha sahau alikotoka!
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka kuna Mbunge aliwahi kumwambia PINDA kama kuna vyeo vya zawadi wapeni na askari magereza na polisi UDC
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Si alie kidogo basi!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Pinda anajulikana kwa hoja zake zilizojaa unafiki. Nakumbuka alipotaka kupotosha ukweli kuhusu mauaji ya Arusha, kabla hajaumbuliwa live bila chenga na kamanda Lema pale mjengoni.
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu lia lia nimeshamtoa maana siku nyingi sana.
  Yani yupo yupo utafikili msukule...
   
Loading...