Baraza la madiwani kinondoni leo kuwaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la madiwani kinondoni leo kuwaka moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Feb 25, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  leo kutakuwa na baraza la kawaida la madiwani (full council) katika manispaa ya kinondoni saa 5 asubuhi hii. katika baraza hilo kuna mambo mengi yatakayojitokeza, ikiwemo miradi mingi ambayo ilipitishwa katika baraza la bajeti la mwaka jana la mwezi wa sita hadi sasa haijatekelezwa. kuna suala la fidia kwa wakazi tisa wa barabara ya riverside-makoka hawajalipwa na iliahidiwa tangu mwezi wa 12 italipwa na barabara hiyo kuanza kutengenezwa. na mengine mengi yanatarajiwa kujitokeza. kwa upande wa upinzani itaongozwa na halima mdee, john mnyika, suzan lyimo na boniface jacob na wengineo.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  vipi tulete ambulance za bajaji?
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Madiwani wa CDM wapo?
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Madiwani wa CDM wako wangapi katika hiyo full council ya Kinondoni?

  Msituangushe watetezi wetu CDM I hope mmejiandaa vya kutosha.
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Serikali haijapeleka fedha kwenye halmashauri toka mwaka jana sasa hizo barabara zitajengwa na nini?
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Vipi mkuu ile kashfa ya diwani wa kata ya magomeni anayemili ile shule "heka ya kijani" itapata nafasi ya kujadiliwa?
   
 7. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  madiwani wa cuf msituangushe mh haroub othman nawengine
   
Loading...