Mawaziri mzigo kwa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri mzigo kwa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chebacheba, Feb 26, 2012.

 1. C

  Chebacheba Senior Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sioni wanachokifanya haw watu zaidi ya kutuongezea gharama tu sie walalahoi. Tubaki tu na hao makatibu wakuu ambao kimsingi ndio watendaji na wanaojua kila kitu wizarani. Isitodhe tuna manaibu makatibu wakuu,, wa nini? gharama tu hizi. Hawa makatibu wakuu wanaweza ku play role ya waziri then manaibu katibu wa play role ya katibu mkuu,, period!! Hii ni sawa kabisa na ile hoja kwamba DCs wawe replaced na DAS etc, na wakuu wa mikoa wawe replaced na RAS. Katiba mpya ikizingatia yote haya itasaidia kupunguza gharama zisizo na msingi hasa za hawa mawaziri uchwara ambao they cannot deliver zaidi ya kutuna kwenye ma V8 na kuota vitambi kila kukicha.
  Ni hayo tu
   
 2. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Imekaaa vizuri,,,,,,,,,,
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hoja hii imesemwa sana hapa JF...
   
 4. m

  mwikumwiku Senior Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapubgukiwa na kitu kinaitwa political science and public administration mkuu!

  Hata kama wewe ni mtaalamu wa nyuki jaribu kujitahidi kuwa na uelewa wa maeneo mengine, japo si kwa undani lakini angalau yale mambo ya msingi. Huu ni ulimwengu wa diversification mkuu! Kwa mujibu wa science ya siasa na utawala ni lazima kuwepo na link baina ya mfumo wa kiutendaji na siasa ili kujenga kitu kinachoitwa 'political responsibility' hivi ndivo kanuni za siasa na utawala zivoelekeza! Si magamba wala CDM! Nenda kote duniani huu ndo mfumo wenyewe!

  Sasa wewe ndugu yangu ukitaka kuondoa mawaziri, RCs, na DCs hii itakuwa inchi au shirika!! By the way mbona umemsahau rais, makamu wake na PM. Kwa msingi Wa hoja yako maana yake Rais asiwepo na badala yake Chief Sekretary anatosha! Hiyo ndo democrasia ya wapi?

  Usijikite kwenye nyuki tu mkuu fanya diversification kidogo!

   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Nimeipenda hii tafakuri yako,
  Watu wengi tunatatizwa na mambo ya kiutawala
   
 6. k

  kicha JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  SWAHIBA WEWE NI GREAT THINKER, sometime vijana porojo linakua halina kichwa wala mguu so elimu inahtajika,
   
Loading...