Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika na CHADEMA wote kwa Ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika na CHADEMA wote kwa Ujumla

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gerald, Feb 25, 2012.

 1. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa siku kazaa kumetokea majibishano concern Arumeru je mmeshafanyia hizi tafiti na mkajua mtashinda?

  1. Kuboresha Daftari la wapiga kura
  Ikumbukwe hili ndilo jambo la msingi kabla ya kuingia kwenye chaguzi ndogo Arumeru kwa kusema hivi ni kwamba tulio wengi hapa kila kukicha topic ni Arumeru CDM itashinda so, kivipi? au ndio ushabiki pasipo kujua takwimu halisi za mtaji wa kura zitakazopigwa jimboni hapo na walioandikishwa kwenye daftari la wapiga kura?

  2. Vijana, tukubali CDM ndio mtaji mkubwa kwenu sasa mnatakwimu zozote zinazowaonyesha kuwa ni idadi ya vijana wangapi wamejiandikisha kwenye daftari la NEC? mkumbuke CCM pale inayo takwimu ya wanachama wake na inaitaji wangapi zaidi ili ishinde chaguzi je nyie vipi? au ndio mnalewa na umati wao pasipo kujua takwimu zao?

  3. Je kwa wazee/ kina mama wote wa Arumeru na hapa ndio hasa CCM inategemea je nyie mmejiimarisha vipi kupata kura zao?

  4. Mgombea wenu anakubalika? na anahistoria nzuri hapo Arumeru? kafanya nini or elimu yake ipo vipi na muonekano wake kwa jamii ikoje?

  5. Mmejipanga vipi na wizi wa kura hili swala tusingependa tena ikawa ni sababu yenu ya kushindwa uchaguzi, tena tumelisikia mda mrefu na tunategemea mmeshapata majibu yake yakiwamo na kununuliwa kwa vitambulisho vya kupigia kura, vituo hewa, watu kupewa mlungula na vitisho vya wapiga kura nk?

  JF and GT plse toa mchango wako wenye kuisaidia CDM ili ifanikishe malengo yake pia kina Slaa, Zito na Myika wapo humu tunaomba michango yao kuhusu Arumeru na mategemeo ya CDM kwa ujumla.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna mambo chadema haichukulii serious,vijana wana vitambulisho vya kupiga kura?ccm wanatumia huo udhaifu,hivi igunga tulijifunza nini,je tumeyatendea kazi????
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenena vyema, vijana wengi ni ushabiki na huku hawajajiandikisha kupiga kura! Hii ni changamoto kubwa
   
 4. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli kama tunapenda mapinduzi ya kweli hata sisi tulioko humu jamvin tujiandikishe, tushabikie kwa vitendo. Hakikisha unapopiga kampeni usisahau suala la kujiandikisha ili mwanachama apate haki ya kupiga kura.
   
 5. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chief Gerald, ahsante kwa maoni yako ambayo yanaitaji hoja za uhakika na siyo blah blah.

  Kwakuwa baadhi ya viongozi wa CDM wapo hapa jamvini nafikiri tunaweza sikia chochote kutoka kwao.

  Binafsi napendekeza makamanda wote wa Chadema waende kupiga kambi Arumeru hadi kieleweke.
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  Hapa nakubaliana na wewe, ila CCM wakiamua tume ya uchaguzi itangaze kuwa mgombea wao ndiye kashinda basi itakuwa hivyo na hakuna tutakachoweza kufanya; maana tume ni yao, Polisi ni yao, Jeshi ni lao....yaani is very complicated kusema kweli!
   
 7. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kaka tatizo sio Nec tatizo ni washabiki wa CDM na Viongozi wao angalia uitoke nje ya mada tafadhali tunataka kujua uboreshwaji wa dafatri la wapiga kura je NEC inaruhusu watu kwenda kujiandikisha kwasasa? ili nyie wapenda CDM vijana muweze kulikomboa jimbo la Arumeru? au ndio bla bla tuu viongozi tafadhali majibu
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umesahau kuwasisitiza kutoacha kuendeleza mahusiano na KANISA, maana hii ndio ROHO ya uhai wa CHADEMA!
   
 9. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Udini....udini kila mahali udini huna jipya wewe.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  NEC wameshakataa tayari kulifanyia review daftari la wapiga kura
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Cha msingi CDM wanatakiwa kujihadhari na vyombo vya dola/rushwa.
   
 12. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  acha woga mbona mwanza arusha mbeya nasehemu nyingine waliweza?
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Jamani kama kuna viongozi humu wa CDM plzz........ 2naomba myachukue mawazo haya themn myatendee kazi kwani 2nahitaji tulikomboe jimbo la Arumeru, na kupitia ukombozi wa Arumeru basi hata Tabora yetu itakombolewa koz huyu msomali Rage anajifanya kafika sana.........! Bravo CDM
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wote hao ni kama magufuli....kwa ujumla wao...na utendaji wao..
   
 15. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye red hapo ndo tatizo, wengine sisi CCK na hatuipendi CDM. mchango wangu CDM wasisimamishe mgombea kule na pesa iliyotengwa kwa kampeni waipeleke mahospitalini kuna upungufu wa madawa
   
 16. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kuzungumza bila kufanya utafiti, ndugu yangu vijana wengi sana wana vitambulisho na hili linatokana na wengi kugundua kuwa vitambulisho vile vinaweza kutumiwa katika shughuli nyingine kama benk, kuchukulia pesa tigopesa etc. Mnaposhindwa mkubali kushindwa sio kutafuta vijisababu visivyo na msingi.
   
 17. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata wewe CCK unaweza kutoa hizo takwimu cause zinakufaa pia katika kushinda uchaguzi na kuhusu wasisimamishe mgombea ungeweza kufafanua zaidi ingawa vyama vingine vyote visingesimamisha mgombea na kuzipeleka uko maospitalini zingatia hoja alisi usikurupuke
   
 18. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapo ndio kuhindwa kwa CDM kunapoanzia sasa uongozi umejipanga vipi kupinga hiyo hoja ya NEC? kumbuka kila raia ana wajibu wa kupiga kura je kitakwimu ni wapigakura wangapi wanatarajia kupiga kura katika jimbo hilo la Arumeru kwa wale waliopo kwenye daftari lao?
   
 19. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lema Alihinda vipi ubunge Arusha? izi sio sababu za msingi na ndio maana nikaema mbinu zote CDM tokea kipindi wanazijua je wamezifanyia vipi kazi? hizi sababu atuitaji kuzisikia kila siku wakati mnashindwa ple!
   
 20. Gerald

  Gerald JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lema Alihinda vipi ubunge Arusha? izi sio sababu za msingi na ndio maana nikaema mbinu zote CDM tokea kipindi wanazijua je wamezifanyia vipi kazi? hizi sababu atuitaji kuzisikia kila siku wakati mnashindwa ple!
   
Loading...