CCM Igunga yafanya sherehe kumpongeza Dr Kafumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Igunga yafanya sherehe kumpongeza Dr Kafumu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Nkanaga, Feb 26, 2012.

 1. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  Baada ya kupita miezi kadhaa tangu bwana Kafumu atangazwe mshindi katika jimbo la Igunga hatimaye leo tar 26 Feb chama kinasherehekea rasm katika viwanja vya Samora. Gari la matangazo linapita mtaani kuhamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kwani wamechinja ng'ombe kadhaa na wali ni wa kutosha. Naamini uwanja utafurika maana tayari umezungukwa na watoto wengi sana ngojeni picha. Source: mimi nipo uwanjani.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Watakua wamesafirisha watu kutoka mikoa ya mbali kiasi gani kwenda kuhudhuria ili isionekane Kafumu kazilwa na wananchi wa Igunga kama ambavyo ukweli wa mambo ulivyo pale vijijini kiuhalisia?

  Je, zile damu za Igunga sasa atazipeleka wapi?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni muda gani umeshapita tangu uchaguzi ufanyike? Kwanini sherehe ifanyike leo? Je ahadi alizoahidi kuzitimiza ndani ya siku chache mfano kujenga daraja ndani ya siku 90 amezitimiza kwa %ngapi?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  maendeleo demokrasia hayaji kwa kuhonga ubwabwa na nyama
   
 5. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  fuso ya kwanza imeingia kutoka kijiji cha jirani cha mwanzugi ikiwa na wana-ccm makumi kadhaa.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wakumbushe kbs hao wazamiaji wanaopelekwa na mafuso kuwa pilau wale washibe haswa kwani usafiri wa kurudi ni miguu yao wenyewe hakuna cha fuso wala guta.
   
 7. k

  kitero JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukitaka kula na kipofu unzulumu vizuri.mpatie kipande cha nyama atakuona wamaana.mwenzao sasaivi anafaidi mjengo wana igunga wamebakia kudanganywa tuu.vipi lile daraja alilo haidi mheshimiwa magufu lilisha jengwa? tunaomba picha mkuu za matukio pls
   
 8. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  Dr fanya yale yaliyokuwa ktk ahadi za ccm, daraja la mbutu hali bdo, (desemba mtu kafariki kwa kusombwa na maji) elimu inazidi kudorora, maji mradi unasuasua, afya, vituoni madawa haba. NINI WALI NYAMA?
   
 9. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuona watu wa ajabu kama c.c.m,wao njia yao ya kuwaadaha watu wa****a ni wali na nyama tu?hao wananchi nao kwa nini wanakua na akili za ajabu hv?
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Acha wafu wazikane wenyewe
   
 11. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  Naamini moja ya tathmini ya hali ya kisiasa ya chama chochote ni mwitikio wa watu ktk miito mbalimbali, km Igunga leo hali ni hii hapa uwanjani, ccm wana kazi ya kufanya. Najitahidi niweke picha
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wakati wanasherehekea ushindi, hivi zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni zimetekelezwa kwa kiasi gani?
   
 13. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  Mwenyekiti vijana toka CUFna Mwekiti wa UPDPD wilaya (alikuwa maarufu kama breki za nyau ktk uchaguzi wa octoba 2011) ni moja ya viongozi waliopo meza kuu jioni ya leo.
   
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM=Chama Cha Malori/Mafuso
   
 15. Nkanaga

  Nkanaga JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 620
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 80
  Hivi we dr, hebu waambie wananchi yale uliyoahidi kwa nguvu ukiwa na akina komba, wasira, magufuli, na nchemba! Mbona leo tena unaanza ahadi? Wapi maji, afya na elimu?
   
 16. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona huleti picha?
   
 17. l

  lumumba the son Senior Member

  #17
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kumbe lori limebeba wana CCM nilidhani limebeba mashetani ya cdm kwenda kwenye sherehe
   
Loading...