Kesi dhidi ya Mbunge Tundu A. Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi dhidi ya Mbunge Tundu A. Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Feb 26, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna tukio la uvamizi wa mgodi wa North Mara lilitokea na kupelekea mauaji ya raia kufanywa na jeshi la polisi wilayani Tarime.Tukio lile lilisababisha rabsha nyingi kama polisi kuvamia chumba cha maiti hospitalini Tarime na kuzichukua maiti za wahanga na baadaye kuzitelekeza barabarani,nikatika sakata hilohilo tulisikia habari za mbunge wa Tarime Mh.Nyambari kushambuliwa na wananchi kiasi kuchaniwa shati kisha kuokolewa na walinzi wake.Nikadhia hii hii ilipelekea Mbunge Tundu Lisu na wenzake kadhaa kutupwa ndani na kufunguliwa mashitaka,naomba kama kuna anayefahamu mwenendo wa kesi hii anijuze imefikia wapi kwani imekuwa ni muda mrefu sana zaidi inasikika ile kesi ya maandamano ya CHADEMA na ile ya kupinga matokeo ya ubunge kule Arusha.
   
 2. O

  OSCAR ELIA Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kesi nyingi za kisiasa huwa zinachukua muda mrefu kwa sababu makimu huwa wanawasahaulisha wanasiasa ili wasionekane wanapendelea wapinzani.Haya ni maoni yangu maana imekuwa kawaida matukio ya aina hii kuchukua muda mrefu.
   
 3. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  wanaJF,
  Kesi dhidi ya Tundu Lisu na wenzake(Waitara na wenzao) ilifutwa takriban miezi 5 iliyopita. Ndiyo hivyo tena kawaida ya kesi za kisiasa. Tundu hata siku moja hata kusimama tu mbele ya Hakimu hakusimama.
   
 4. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  dr. Heshima yako, tunawasubili kwa humu huku Usa njooni haraka tuanze kupachimba.
   
 5. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Haya ni baadhi ya matukio ya kuweka kumbukumbu ili siku ikifika haki itendeke wahusika wafikishwe mahakamani 2015 si mbali ninaimani polisi wote bado watakuwepo kazini, wahojiwe na watoe ushahidi.
   
 6. C

  Capitalist Senior Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa Dr, endeleeni na mapambano iko siku Mungu atasikia kilio cha watanzania, mafisadi wataporomoka kwa aibu.
   
 7. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Tunashukuru dr kwa kilimaliza hili mapema maana magamba wangeropokwa na mapovu kuyatoka midomoni mpaka basi, kazi njema dr
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru kwa Taarifa yako Mh Rais, mungu akuongezee maisha marefu kwani bado tunakuhitaji na tunakuamini katika Taifa letu.
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  heshima yako mkuu.kweli kesi za kisiasa promo kubwa.mwisho wa siku watu wanagongea chiaz
   
 10. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni habari njema kwa wapenda hak. Dr. Watz tuna hali mbaya kimaisha, maisha yamekuwa magumu mara dufu zaidi. Tumia vipasa sauti vizuri.
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako...Jumapili njema.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Feb 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Thanks my Comrade, Presidential Material for 2015.
   
 13. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,157
  Likes Received: 1,884
  Trophy Points: 280
  Nimeamini tunae, Muongoza njia kuelekea Ukombozi!
  Mchana mwema Commender!
   
 14. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Thanks Dr.Tunakukubali.Always a leader
   
 15. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ..MMHH,
  nimefarijika sana na majibu ya Dr.. viongozi wachache sana wanajali kufuatilia mabo yanayowasumbua watu wa kawaida na kuchukua hata nukta chache kujibu hoja kama hivi. NIMEFARIJIKA SANAAAA. MUNGU AKUBARIKI NA ATIMIZE DHAMIRA ZAKO NJEMA KWA BINADAMU NA TAIFA HILI. nimekuaminiaa.. sikutegemea ungekuja kasi hivi na kutoa ufafanuzii hivi.. asante DR
   
 16. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,654
  Trophy Points: 280
  Kesi zingine hata taaluma ya uanasheria zinaiaibisha if Judges they will just do kufuata matakwa ya viongozi walio madarakani, mfano wananchi wa walivyo adhiriwa na sumu GGM Tarime na serikali ilikuwa kimyaa... Watu walinyauka, sasa wanaharakati wakipinga serikali inawalinda they so called wawekezaji while ni wauaji na kiuchumi hata pato wanalopata halisaidii taifa, madini yote nje yanakwendaa...serikali haitaki kubadili au ku stopisha sera mbovu kabisa duniani za madini zilizopo hapa Tz only....hatupati kitu...
   
 17. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Dr. Ubarikiwe sana, my president to be. Tanzania tunazaririshwa sana na Serikari yetu ya sasa. Maisha mangumu si uwe umesoma au haujasoma, kazi wanapeana wao kwa wao. Naomba ifike wakati busara tuiweke pembeni, watu wnauliwa bila sababu, matajiri ndo wanaamua waiendeshe vpi!! Mungu akupe afya njema Dr
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Habari njema hii kutoka kwa Dr.
   
 19. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Thanks for information my president,acha J K azurure hovyo nchi za watu
   
 20. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Thanks sana Dr Slaa,

  Kwanza tunakushukuru kwa taarifa za mara kwa mara kuhusu mustakabali wa nchi yetu, watu wengi sana wanafuatilia mambo ambayo yanaendelea nchi hii kupitia mtandao na wewe umekuwa mstari wa mbele katika kutuhabarisha.

  Pili tunashukuru sana kwa kwenda na wakati kwani kwa umri ulionao siyo rahisi kufuatilia kila kinachoendelea nchi hii na hasa kupitia mitandao ya jamii hii inatupa faraja na imani kubwa juu ya uwezo wako.

  Mungu akubariki na mapambano daima nasi tuanakuunga mkono

  Thanks
   
Loading...