Mh. Dr Kikwete; tuma salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa Songea

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Kwakuwa mheshimiwa umekuwa unatufariji mara kwa mara hasa kwenye misiba iwe ya raia ua viongozi bila kuja kujali itikadi za vyama vyetu; tunakuomba uwakumbuke na wananchi wa Songea hasa ukizingatia kuwa jeshi letu la polisi limekiri udhaifu kwa kutumia nguvu nyingi bila sababu za msingi kwa kuuwa raia wasiokuwa na hatia
 
Huwa anawakumbuka watu mashuhuri tu.....ili apate na ushaahidi wa picha
 
waliouwawa sii watanzania wala hawana umuhimu kwake kama wa ajali ya mv islander.teh teh rais tunaye!
 
kwakua mheshimiwa umekua unatufariji mara kwa mara hasa kwenye misiba iwe ya raia ua viongozi bila kuja kujali itikadi za vyama vyetu.tunakuomba uwakumbuke na wananchi wa songea hasa ukizingatia kuwa jeshi letu la polis limekiri udhaifu kwa kutumia nguvu nyingi bila sababu za msingi kwa kuuwa raia wasiokua na hatia
hivi na wale waliouawa tarime si nao walipigwa risasi na polisi/walinzi kama hawa wa songea? inabidi kifanyike nini mpaka serikali itoe ubani kama ilivyofanya tarime?
 
Ni ajabu na kweli; yaani vifo vya raia Songea lakini Rais Kikwete yeye anaendelea kujisherehesha na Makirikiri Botswana.

Safari ya nyuma kidogo ilikua ni vifo hospitali zote nchini kufuatia mgomo wa Madaktari (ambao kuna kila dalili kujirudia tena kwa kuwa siku 30 za ahadi ya serikali kwao ndio hizo zinayoyoma bila mabadiliko yoyote), huku yeye akiwa anakula good time mawinguni kuelekea Davoa Uswisi.

Ndio sasa mtu amkumbushe kutuma salamu za rambirambi hivi sasa wakati wale wanaouuwa ni sawa tu na inzi tena waliobandikwa jina WAHUNI na kiongozi mwandamizi mojawapo huko serikalini??????

kwakua mheshimiwa umekua unatufariji mara kwa mara hasa kwenye misiba iwe ya raia ua viongozi bila kuja kujali itikadi za vyama vyetu.tunakuomba uwakumbuke na wananchi wa songea hasa ukizingatia kuwa jeshi letu la polis limekiri udhaifu kwa kutumia nguvu nyingi bila sababu za msingi kwa kuuwa raia wasiokua na hatia
 
Ni ajabu na kweli; yaani vifo vya raia Songea lakini Rais Kikwete yeye anaendelea kujisherehesha na Makirikiri Botswana.

Safari ya nyuma kidogo ilikua ni vifo hospitali zote nchini kufuatia mgomo wa Madaktari (ambao kuna kila dalili kujirudia tena kwa kuwa siku 30 za ahadi ya serikali kwao ndio hizo zinayoyoma bila mabadiliko yoyote), huku yeye akiwa anakula good time mawinguni kuelekea Davoa Uswisi.

Ndio sasa mtu amkumbushe kutuma salamu za rambirambi hivi sasa wakati wale wanaouuwa ni sawa tu na inzi tena waliobandikwa jina WAHUNI na kiongozi mwandamizi mojawapo huko serikalini??????

halafu inasemekana ile kamati iliyoundwa kushughulikia madai ya madaktari haina chochote walichokifanya. sijui itakuaje na serikali ni kama imesahau vile.utashangaa siku ya mwisho serikali inakurupuka na majibu ya hovyo ilihali muda wote walikaa kimya.
 
Huwa anawakumbuka watu mashuhuri tu.....ili apate na ushaahidi wa picha
mkuu hata songea vyombo vya habari vipo kama ni picha atapigwa tu.tunamwomba walau atoe neno tujue mheshimiwa ameguswa.
 
I have never seen such a president like ours he does not care the life of his people never say pole to sufferers badala yake ana cheka cheka tu as nothing has not happened.
 
mkuu hata songea vyombo vya habari vipo kama ni picha atapigwa tu.tunamwomba walau atoe neno tujue mheshimiwa ameguswa.

Je hizo picha za Songea zitapendeza kama zile za misiba ya sehemu nyingine ambazo akipigwa anaweka nne ili travota yake ionekane?
 
hii kali kwa hiyo jamaa anauza sura hadi pamba umenifanya nicheke bila kupenda
 
Mkuu wewe haujui kua huyu mkuu wa kaya ni mtu wa pozi sana,hazeeki huyu,wewe jaribu kumchunguza pozi zake tu,yaani kuonyesha viatu na kushika suit kuirekebisha mara kwa mara imeshakua damuni kwake,sijui ujanani alikua vp huyu mkuu wetu!
 
Nyie mtahangaika na maiti zenu za Songea yeye yuko kwa vimwana vya kiswazi anakula maraha

Back
Top Bottom