Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, anatarajiwa kujulikana leo, mara baada ya kumalizika zoezi la kupigiwa kura kwa wagombea saba ambao wamejitokeza kuchukua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimependa sana utetezi wa zitto kuhusu waandishi wa habari na jinsi wanavo jidai kujua mawazo ya watu kwa kutafsiri kile wanacho ongea. Zitto ana point,hakuna sababu za kibailojia zinazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Uhuru wengi tutakumbuka kwama Mwl Nyerere alisema Tanganyika haikuwa na matabaka.Ni dhahiri kwamba alikuwa akizungumzia hali ya Wazawa,kwasababu wageni[Wazungu,Wahindi, na Waarabu]...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maswali kwa Anne Makinda Juvenalis Ngowi KIONAMBALI alikwisha kufunga makabrasha yake yanayohusiana na hoja...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Mvutano na mtifuano umekuwa mkubwa kiasi kwamba CC ya CCM inajuta kwa nini imerudisha maamuzi ya mgombea kwa mkutano wa wilaya ili kupiga kura tena. Hata hivyo makundi sasa yanamenyana na mtandao...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu wanaJF, nimekuwa nikiona mara kwa mara mavazi ya Ndugu Nape Nnauye siku za hivi karibuni yakiwa katika rangi ya kijani yaliyoshonwa Kimagwanda. Binafsi ninavyofahamu vazi la Magwanda katika...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wanabody nimeonaniweke hapa baadhi ya wagombea watakakaoteuliwa na chadema kuipeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyanganyiro cha ubunge jimbo la Arumeru. 1. Joshua Nassary - Muhitimu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama CCM ina weza panga mpango wa kuua chama cha siasa na kuweza kufanikiwa au kuiba kura na kufanikiwa au kumuua mtu na kuweza kufanikiwa kwa nini hizi tactics wasiziweke kwenye kumletea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKAZI wa Kata ya Kivule, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kitendo cha madereva wa daladala kuwatoza wanafunzi sh. 300 kwa kisingizio cha ubovu wa barabara. Wakizungumza katika kikao cha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwananchi, 29/ 02/ 2012 uk 11 Mbunge wa Jimbo la Songwe Philip Mulugo ambaye pia ni naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, amewataka watendaji kata na vijiji kuwakamatana kuwaweka ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WANABODI Naomba tuliangalie hili jambo ili kama inafaa iwe ni hoja ambayo inatakiwa iwe sheri ndani ya katiba mpya ijayo.Nimetoa thread hii baada ya kupata kizungumti kwenye rushwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anasema watu wa cuf wanaoshiriki kwenye umoja wa kitaifa zanzibar ni watu 8 tu. anasema ni mawaziri 7 na seif. Rakini ngazi za chini , masheha, wakuu wa wilaya ,mikoa hamna mtu wa cuf hata mmoja.
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Msemaji wa cuf anasema hao walio jitoa ndo walikuwa kikwazo ndani ya chama. na hao wote waliojitoa walikuwa kwenye Uchaguzi mdogo wa Igunga. Hadi Hamad Rashid alikuwa Igunga. na kila mtu tulimpa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa. Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Written by administrator // 28/02/2012 // Sauti // 11 Comments Ally Saleh, Jumuia kubwa kabisa za kiislamu huko zanzibar ile ya UAMSHO na ya MAIMAMU zimekuwa zikiingia mitaani kutoa elimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzazi unaweza vipi kumpeleka mtoto kwenye shule ambayo unajua kabisa haina madawati, walimu, vyoo, au nyenzo mbalimbali za kufundishia? Na wananchi wanachukuliaje hali hii je shule hizi zifungwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Spika Anne Makinda ZIKIWA zimepita siku chache toka mbunge wa jimbo la Njombe kusini Anne Makinda ambaye ni spika wa bunge kutangaza kutogombea ubunge tena katika uchaguzi...
2 Reactions
56 Replies
9K Views
KAULI YA NAPE MARA BAADA YA USHINDI WA SIOI: Source: HABARI LEO Ushindi wa Siyoi: Wakati huohuo, Katibu wa Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye, amesema utaratibu wa kuteua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Selasini,mbuge wa karatu,wenje kaka mbona kimya ghafla?na wangingine ambao sijawataja hapa. Wake wa viongozi wetu jamani mbona kama hampoo?tunategemea nyie kwa kushirikiana na bawacha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utaratibuwa kuhesabu kura na kutangaza matokeo 21 (a) Kazi ya kuhesabu kura itafanyika tu wakati ambapo kuna mwanga wakutosha na wa kuaminika na mahaliambapo kuna ulinzi na usalama madhubuti...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…