Juma Shabani Mgoo ateuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Habari wanabodi,
Waziri wa Maliasili na Utalii amemteua bw. Juma Shabani Mgoo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency - TFS).

Kabla ya hapo bw. Mgoo alikuwa akifanya kazi Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii kama Mkurugenzi Msaidizi wa Uendeshaji Misitu.

Uteuzi huo unaanza tangu tarehe 1 Desemba 2011 na utadumu kwa kipindi cha miaka mitano.

Juma+S.+Mgoo-+Afisa+Mtendaji+Mkuu,+Wakala+wa+Huduma+za+Misitu+Tanzania+(TFS).jpg
 
Habari wanabodi,
Waziri wa Maliasili na Utalii amemteua bw. Juma Shabani Mgoo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency - TFS).

Kabla ya hapo bw. Mgoo alikuwa akifanya kazi Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii kama Mkurugenzi Msaidizi wa Uendeshaji Misitu.

Uteuzi huo unaanza tangu tarehe 1 Desemba 2011 na utadumu kwa kipindi cha miaka mitano.

hauko seriuous inaelekea hata kusoma/kusikiliza unabahatisha

Big up Jumaa.......itende vyema kazi ya wizara
 
Nimtu makini ataisaidia sana wizara na ni mtendaji mzuri mwenye msimamo anaejua nini anafanya.Sifa nyingine kubwa aliyo nayo hapendi kubuluzwa katika utendaji wake wa kazi.
 
Ni jambo jema kazi kubwa iliyo mbele yake ni kumsaidia Rais kazi katika eneo la uteuzi wake.
 
Hongera sana.....tuache majungu tumpe nafasi achape kazi! Sometime back kuna jamaa alimvaa waziri na kumwambia mheshimiwa misitu inakwisha huko mikoani wakati watu hapa wizarani matumbo yanadondoka (akimaanisha watu wanaota vitambi)
 
Kwani interview ilirudiwa?maana walifanyiwa interview watu watano tu wengine wakaambiwa kuwa interview imeahirishwa kuuumbe wameshapanga mtu lol...but mgoo ndo alikata rufani,je alifanyiwa interview lini na sangapi?
 
Kumbe ndo ilivyokuwa..!?
 
Back
Top Bottom