Mafuta yakichimbwa Tanzania, tutajenga upya kiwanda cha kuyasafisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta yakichimbwa Tanzania, tutajenga upya kiwanda cha kuyasafisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Mar 6, 2012.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wakuu
  Najiuliza swali.

  Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafutai kihokuwa chini ya TPDC . Lakini kwa sababu mbalimbali inasemekana kikafungwa. Huku kusini mwa afrika kiwanda kama hiki Kipo Afrika kusini.

  Sasa kwa kasi hi ya ugunduzi wa mafuta si tu Tanzania lakin hata nchi jirani Uamuzi ule bado ulikwua ni sahihi au ni maamuzi ya viongozi kuagalia miaka mitano au kumi tu( Kutokuwa na VISION)?
  Na
  • je si busara sasa kuanza mapema kufufua kiwanda hiki?
  • Kuna anayekumbuka au kufahamu ni sababu gani hasa zilizopelekea Tanzaia ufug kiwanda hik
  • Kuna Faida au hasara gani Tanzania kuwa na kiwanda kama hiki

  Nawasilisha
   
 2. K

  Karry JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sera ya awamu ya tatu serikali kujitoa kufanya biashara, ndio mfumuko huu wa bei za mafuta kwani serikali haiagizi tena crucial oil
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu, umeibua hoja ya msingi sana. Madini yalianza kuchimbwa kabla ya kujiandaa (kama nchi), mchanga unakuliwa na madini mazima mazima kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa viwanda ya kusafisha/kukata. Miaka kumi bado sababu zile zile! Kwa sasa ningetegemea serikali ingejiandaa kabla ya kuanza kuchimbwa kwa mafuta. Haiwezekani kuendelea kusafirisha mali ghafi miaka yote. Kwa upande mwingine naamini huu ni ujanja wa wakubwa zetu kwa msaada wa cheque books za wawekezaji.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Angalieni mfano wa Uganda. Wamefanya maandalizi ya miaka mingi kabla ya kuanza kuchimba mafuta kule. Na sisi tunaweza ila viongozi wetu ndio hawana nia, hawana ruuya.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  TPDC na serikali sijui wanafikiria nini . Na upande wa CDM CUF etc sijui nao sera mbadala ya haya mambo wana VISION gani.
   
Loading...