Picha za CHADEMA ilivyoingia Tanga kwa kishindo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za CHADEMA ilivyoingia Tanga kwa kishindo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Mar 6, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa yaani 2015 mtaiba CCM mtaiba kura mpaka zitakuwa haziibiki....hahaa baba mwanaasha kazi unayo kulivusha jumba bovu kwenda 2015 election....sijui umenifahamu!!!!
   
 5. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  I like this, For sure imekuja late sana baada ya tukio..Ila inapendeza kwa kweli na Chadema inatoa matumaini kwa watanzania,
  Hivi mbunge gani akienda jimbo lingine au mkoa fukani anapokelewa hivi?
  Nape sijaona, chiligati sijaona, wakati mwingine hata katibu mkuu wa magamba sijaona...Sasa hili nalo jambo
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  pamoja tutashinda
   
 7. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dah, si kuna watu walisema hapa kwa Tanga Chadema hawakupata watu?

  Ila kwa ushauri 'security' system iangaliwe kwa namna ya kipekee. Kwa namna Zitto alivyozongwa hapo chochote

  chaweza kutokea. Sijui ni namna gani nzuri ya kiongozi kusalimiana na wananchi bila kuzongwa hivyo lakini ni vyema

  mfumo wa ulinzi ukaangaliwa upya. Ni ushauri tuu lakini.
   
 8. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama kawa!
   
 9. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Bravo CHADEMA in Tanga.

  Hii inaonyesha kuwa hata Uchaguzi Mkuu wa 2010 CHADEMA walishinda katika mkoa wa Tanga kama si uchakachuaji wa Chama cha Magamba.

  Hopefully kama kutakuwa na Uchaguzi wa aina yoyote utafanyika leo iwe ni Urais,Ubunge na Udiwani basi CHADEMA kitashika nambari wahead!

  Come 2015 CCM wasahau kuwa Tanga ni ngome yao. Forget!
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  CCM kazi wanayo! kuwaongoza watu wasiokupenda kazi kweli!
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Uuu...CDM ilikoswa watu Tanga...Sasa yako wapi?!...CCM endeleeni kujifariji ila ukweli mko katika hali mbaya sana inawabidi mjipange upya...2015 haiko mbali.
   
 12. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Ni kweli maneno yalikuwa mengi. Ila ikumbukwe kwamba ukweli utabaki kuwa ni ukweli hata kama itapita miaka. Mungu ibariki CDM na watu wake wote
   
 13. p

  pstar01884 Senior Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasubiria maoni ya Rejao. Hana la kusema, pressure ipo juu, ngome yao inatekwa hivi hivi.
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna pro Magamba walisema CDM ilikosa watu Tanga. au hii ni Photoshop:lol::lol:
   
 15. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,062
  Trophy Points: 280
  Jana Mkuu wa Mkoa (ambaye kikatiba ni kada wa CCM) wa Tanga, Bi Chiku ..., alikuwa na kikao kizito na wakuu wa wilaya za Tanga na watendaji wengine na ajenda kuu ilikuwa juu ya namna ya kuboresha zao la MKONGE mkoani kwake kwa kauli mbiu ya "Mkonge ni Tanga na Tanga ni Mkonge".

  SOURCE: Radio One - Nipashe [Leo].

  Wana JF hebu tujiulize:-

  (i) Je, yawezekana mikakati hii "mipya" ya watendaji wa mkoa ikawa na uhusiano na hoja binafsi ya Mh. Zitto Kabwe (MB) Bungeni na hatimaye ziara ya wabunge wa CHADEMA mkoani Tanga hivi karibuni?

  (ii) Kama jibu ni ndiyo, hivi watendaji hawa wataendelea kusubiri kuamshwa au kusukumwa hususan na wapinzani au jamii hadi lini? Hivi tangu mwanzo hawakujua kwamba wanapaswa kuchukua hatua kuhakikisha zao la mkonge halifikii hatua mbaya lililo nayo hivi sasa badala ya kusubiri hadi wakurupushwe na hatimaye "kuiteka hoja"?
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Ndio maana zitto anasema umri wa kugombea uraisi upunguzwe,keshasoma upepo dogo anaweza kuingia mjengoni 2015 kama hali itaendelea hivi
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  the guy is doing a brilliant job hasa kwenye ile tume yake! keep it up Zitto!
   
 18. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli hiki ndio chama mbadala Tanzania.
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no comment,cdm chama tawala 2015
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wameshtuka mkuu wangu
   
Loading...