ARUMERU: CCM waanza kununua kadi za kupigia kura

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Habari nilizozipata kutoka Arumeru mashariki ni kuw ccm wameanza kununua kadi za wapiga kura kwa tsh 50000@ . Ambao wapo eneo la tukio watujuvye hapa jamvini
 
wananunua ila si kwa bei kubwa hivyo wanatoa kati ya elfu 10 mpaka 20 itategemea msimamo wako ... Ila hawa washkaji wa magamba wanafanya mambo sio kabisa,,, tena wale wazee weenye njaa njaa zao ndio wananunuliwa pombe tu waameisha....
 
Waache waendelee kama hawajui wakamuulize kimario wa Igunga...
 
Arumeru Mashariki kuna wapiga kura zaidi ya elfu hamsini, sasa kama kweli magamba wataamua kununua kadi za wapiga kura zaidi ya nusu kwa bei ya sh. 50,000 itakuwa ajabu sana. Labda Arumeru kuna madini au mafuta.
 
Mwenye kujua anieleweshe,hivi CCM wakinunua shahada za kura wanapata faida ipi katika uchaguzi,I mean inawasaidiaje kushinda? navyojua mimi watu wengi walio katika position ya kuuza shahada ni watu illiterate na ignorants ambao most of them if not all ni mashabiki wakubwa wa CCM na ndio mara zote wanaokipa ushindi,sasa sioni faida wanayoipata kwa kununua shahada ya potential voters.Please wakuu mwenye kujua how this trick works anijuze.
 
Hizo shahada wananunua kwa watu ambao si mashabiki wao kwa kuwatumia wajumbe wa nyumba kumi. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mambo haya yalitokea Igunga mpaka mjumbe mmojawapo akahojiwa na TV akakiri kuchukua hizo shahada.
Ushindi wa hila hauna furaha ila CCM wenyewe hudai ni wa kishindo hata kama wanajua wametumia hila kama hizo chafu, Arumeru yupo mtaalamu bwana Nchemba yeye ndiye injinia wa mambo yote maana fuko la pesa analo na hakuna anayeuliza matumizi.
 
Chadema fanyieni kazi hizi tetetesi maana ndiyo zinazovuruga uchaguzi kila mahali inapotekea.
 
Mwenye kujua anieleweshe,hivi CCM wakinunua shahada za kura wanapata faida ipi katika uchaguzi,I mean inawasaidiaje kushinda? navyojua mimi watu wengi walio katika position ya kuuza shahada ni watu illiterate na ignorants ambao most of them if not all ni mashabiki wakubwa wa CCM na ndio mara zote wanaokipa ushindi,sasa sioni faida wanayoipata kwa kununua shahada ya potential voters.Please wakuu mwenye kujua how this trick works anijuze.

CCM wanajua idadi ya wapiga kura ambao unakuta ni wanachama wao.Sasa wanachokifanya ni kununua shahada za wapinzani ili kuhakikisha kuwa hawatapiga kura siku ya uchaguzi.Baada ya uchaguzi kupita wanawarudishia.Na ndio maana unakuta waliopiga kura ni wachache kuliko idadi inayotakiwa.Kwa taarifa za kuaminika huku Meru walianza kuzinunua hata kabla marehemu hajafariki kwa kuwa walijua nini kitatokea.
 
sishangai maana mpaka leo vyuo vikuu havijafunguliwa eti hakuna Pesa bodi ya mikopo, si ajabu hizo pesa ndio wanazozifuja huko Arusha
 
Back
Top Bottom