Kesi ya Lema Mkangaa afunga ushahidi, na pingamizi latupwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Lema Mkangaa afunga ushahidi, na pingamizi latupwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sokoinei, Mar 6, 2012.

 1. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo msa mkangaa amehitimisha mashahidi,nibaada ya pingamizi alilo weka wakili wake jana kua wanaomba kubadilishwa kwa hati ya mashitaka,leo jaji katupilia mbali pingamizi hilo na kuamuru aendelee na kutoa ushahid ndipo wakili wa upande wa mashitaka alianza kujichanganya na kuomba mashahidi alio kua nao wameishia hapo japo alikua na shahidi mmoja aitwae batilida,wakili wa lema akamuuliza vip tuiagize mahakama imlete?akasema yuko nje yanchi,wakili wa lema kimomomogoro akamwambia kwa mahakama hakunaga umbali,akajibu hakuna haja ya kumuita akaomba iwe mwisho wa ushahidi,ndipo jaji akafunga ushahid upande wa mashitaka,wakili wa utetezi akaomba apewe muda mpaka ijumaa alete utetezi wake.nawasilisha
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Lema kashashinda. Hata asiyejua sheria anaweza kuona tu ushindi wa Batilda utakuwa ushindi wa MARUHANI
   
 3. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona wanachelewesha? Nina hamu ya kusikia kesi hiyo inaishaje japo sijawahi kukanyaga mahakamani
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Safi sana. Lingekuwa jambo la heri kama kesi zote zingaharakishwa kusikilizwa kama hii.
   
 5. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ninaomba Mungu aisimamie kesi hiyo na hatimae Lema ashinde!
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nadhani hata majaji wanatamani hii kesi iishe haraka maaana kila kunapokuwa na usikilizwaji wa hii kesi watu hujaa sana mahakamani halafu kuna ushabiki usipime...CCM ikiwa Polisi, wazee na mabaunsa na kwa upande wa CDM ni Lema na nguvu ya umma...ilipelekea kupigwa marufuku mtu yoyote kufika mahakamani hapo na pendera za vyama kupunguza ushabiki
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kusema kweli mimi kwenye sheria ni mweupe lakini kwa ushahidi uliotowewa na mashahidi wanaodai walimsikia lema akisema Batilda kaolewa Zanzibar hakika lema anashinda......
   
 8. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Upande wa Lema anaaza kutoa ushahidi wake Ijumaa (9/2).....
   
 9. j

  jigoku JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tuombe Mungu jaji amuongoze ili haki itendeke,maana kwa mtindo huu wa siku zote kwamba CCM ndio mahakama,ndio polisi ndio kila kitu ni hatari sana,ndio maana nawaomba wapenda haki tumuombe Mungu amtangulie jaji itakapofika mwisho atoe judgement iliyo ya haki na hakika sala zangu naomba kamanda Lema ashinde kesi hii ya kubumba,maana bado sielewi anaedaiwa kukashifiwa sijui kutukanwa wala hakwenda mahakamani ila wapambe ndio kiliwauma kuambiwa kuwa ameolewa ZNZ mgombea wa CCM.eeh haya bana
   
 10. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mhh!Hii tarehe imekakaaje? 9/2?
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wakili wa lema YUPO POA SANA!
   
 12. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  inashangaza inamaana mwana mke kuolewa ni kosa.....au ni kumpotezea muda Mbunge
   
 13. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Tarehe 09-Feb-2012
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  niliwahi kusema wale waliofungua kesi ile walikua na maruhani wa mawazo, ungengemkeni na ukarunguyeye wa sheria na taratibu unamsumbua Batilda na watu waliomzunguka, wanafanya siasa kwa njaa na uchu wa madaraka hawakubali kushindwa, wamejidhalilisha zaidi, wameruhusu matusi kuwarudia wao na watu wanaowazunguka, umetufanya tujue kuwa Mamvii si mwema sana linapokuja swala la amri ya sita wamejitukanisha zaidi kuliko walivyotegemea.
   
 15. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  jamaa yuko vizuri.....
   
Loading...