Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Ule mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na Wazee wa Darisalaam, uliokuwa ufanyike leo, ukaahirishwa na kutangazwa ungefanyika kesho, umeahirishwa tena, sasa kufanyika Jumatatu...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Comrades jamaa wa Tanesco wa mkoa huu wameanza kuuukata na kuurejesha umeme mara kadhaa Chonde jamani Updates za Ufunguzi wa Kampeni za CDM Maana hatuna imani na hawa jamaa huenda wakaukata Muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona tanesco nao wanatumiwa na ccm katika masuala ya kipumbavu wamepewa hela ili wakate umeme watu wasiangalie uzinduzi wa kampeni arumeru.
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Meneja kampeni wa Mgombea ubunge Jimbo la Arumeru kwa tiketi ya Chadema Vicent Nyerere amesema CHADEMA wanatarajia kuzindua kampeni zao rasmi Jumamosi asubuhi ambazo zitazinduliwa na Mwenyekiti wa...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Taarifa ya habari ya sa 2 ya ITV wameonesha viongozi wa TANA wakisema kuwa madaktari hawajafanya vizuri kugoma hivyo wao wamejipanga vizuri kuwafariji na kuokoa maisha.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
CHADEMA leo hii wanategemea kuzindua kampeni zao za uchaguzi wa Jimbo la Arumeru katika uwanja wa shule ya Msingi Liganga ambapo viongozi wakuu na wabunge wao wote wanategemea kuhudhuria. Wakati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1: Mahakama imekuwa biased kwa kumsikiliza mlalamikaj pasi Kumsikiliza Mlalamikiwa. 2. Mahakama ilitakiwa pia kumpa Mlalamikaji Time frame ya kusema ni lini atapatia ufumbuzi madai ya Mlalamikiwa...
3 Reactions
95 Replies
9K Views
Ndio sikatai ilikua tangu enzi za mwalimu, alikua akiongea na 'wazee wa dar es salaam' na kwa jambo lolote kubwana tz, lilikuwa linapitia kwa hawa wazee. Na imekua mfano kwa viongozi waliofuata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna taarifa ya mgawanyiko mkubwa uliotokea kwa waganga wakuu wa wilaya na mikoa kuhusu mgomo wa madaktari.group la kwanza lenye vijana wengi linataka kutoa tamko dhidi ya serikali,linataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naibu katibu mkuu Chadema, Naibu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, mkiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirka ya Umma na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ndo mgeni rasmi atakayezindua...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimesikia taarifa ya habari tbc taifa (radio ya magamba) ya saa 0:00 kwamba ma-doctor wameamrishwa na mahakama kusitishe mgomo wa kuwashinikiza waziri na naibu waziri wa afya wajiuzuru. Hii...
2 Reactions
184 Replies
17K Views
ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza CHADEMA betwee 65%-70% CCM arround...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
IJUMAA, 09 MACHI 2012 06:10 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM Moja ya mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) SAKATA la uuzwaji wa Shirika la Usafirishaji la mkoa wa Dar es...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu leo hii nimeamua nilete mada hiyo hapo juu tuijadili. Imekuwa ni kawaida ya wanasiasa wakati wa sherehe za uhuru zinazofanyika kila mwaka kutuhubiria kuwa wananchi walimwondoa mkoloni wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wed, Mar 7th, 2012 Tanzania | Wed, March 7th 2012 Singida Urban Member of Parliament Mohamed Dewji Singida Urban Member of Parliament Mr Mohamed Dewji has been named as Young Global Leader...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Ni dhahiri kwamba Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dr. Haji Mponda na naibu wake Dk. Lucy Nkya hawako tayari kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao za uongozi katika Wizara ya Afya na Ustawi wa...
6 Reactions
163 Replies
14K Views
Kikao hiki kimefanyika jana huko meru kwa moja ya makada wa chadema. Elishilia kaaya ameamua kuweka ukada wa chama pembeni na kuamua kusapoti ukweli na inasemekana anamuunga mkono mgombea wa...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Una wazo gani ili kuhakikisha chama cha CHADEMA kinajiwekea mazingira mazuri ya ushindi kwa chaguzi zijazo hasa kwenye mikoa isiyo na wanachama wengi kama mikoa yote ya ukanda wa pwani na kanda ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kesho ni mtifuano arumeru. Mhe msigwa mbunge wa iringa mjini na mhe sugu mbunge wa mbeya mjini wameingia usiku huu jimboni arumeru tayari kwa uzinduzi wa kampeni za ubunge.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…