Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by beko, Mar 9, 2012.

 1. b

  beko Senior Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndugu wadau wa JF, yafuatayo yatakua matokeo ya kura za ubunge jimbo la Arumeru. Hii ni kwa Mijibu wa utafiti binafsi nilioufanya kabla hata ya kampeni kuanza

  CHADEMA betwee 65%-70%
  CCM arround 30%
  All other parties less than 5%

  Nawakilisha.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani CHADEMA 85% -90%
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hali ni tete huko,na kuna nimesikia Mkapa kagoma kuzindua kampeni je ni kweli?
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haya si mawazo ya mtu mwenye akiri timamu mwenye kujua siasa za tz
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mi natabiri hivi
  Ccm 63 %
  Chadema 35 %
  HUTAKI UNAACHA.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  usiwe hna haraka ccm wanapanga kuiba kura
   
 7. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Natamani kila kitu kiende kama unavyotabiri shekhe.
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  CHADEMA watashinda lakini CCM watachakachua na siyoi atatangazwa mshindi.
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,599
  Likes Received: 18,608
  Trophy Points: 280
  Mkuu Beko, asante kwa utabiri, uchaguzi Arumeru ulishamalizika zamani na matokeo ndio kama hayo ila the other way round!. Kinachoendelea sasa ni kutimiza tuu matakwa ya kufuatwa kwa taratibu, sheria na kanuni!.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimesikia kuwa mzee Mkapa kakataa kuzindua kampeni.
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ansante sana marehem sheikh yahya
   
 12. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Kumbe!!!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Vipi % itakayoharibika na zitakazoibiwa na ccm?
   
 14. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160

  This time sahau kusikia chadema wakilalamika kwamba wamechakachuliwa huku meru wanashinda kwa ushindi ambao hautafaa kuchakachua na wamepanga safu za makamanda kila kijiji mawakala ni wazoefu kumbuka wale waliosimamia lema, mbowe na ndesamburo wakashinda wote watakuwa arumeru............. this time ushindi ni lazima, wanaccm wengi mpaka mabalozi washaikana ccm na wameahidi kuchagua CDM wengine wanafanya kimya kimya tu hawajitangazi ila sisi tulioko nao vijijini tunajua hata juzi pale kata ya maji ya chai kuna wajumbe walikoswakoswa na chadema & TAKUKURU waliporudi vijijini wameona wanahatarisha maisha yao kwa kuisaidia ccm ( wameshaanza kuogopa)
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Unamuwakilisha nani? nyie ndiyo huwa mnalia na kudai matokeo yamechakachuliwa baada CCM kupata 65% to 90% itakavyokuwa Arumeru mashariki.
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Great thinker siku zote haleti hoja ya kudhani humu. Fanyeni utafiki makini ndiyo urudi hapa wewe na huyu aliyeleta huu uzi.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Another Sheikh Yahaya at work!
   
 18. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Alloo hali ni tete huku kwetu Arumeru, Vituo vya Polisi na FFU vimehamia mtaani kwetu, sijui ni kwa nini hawa jamaa wana mawazo finyu! Afu kumbukeni huu ni uchaguzi ni kati ya CDM na Chama cha Lowassa, CCM wameshajiengua kwenye hiki kinyang'anyilo, Ndo mana Mzee Mkapa kawa mwelevu na kuamua kuwachunia kuja kuzindua campeni. Heko CDM mana Uongozi wa Arumeru upo mkononi mwenu! Nichukue nasfi hii kuwaalika wananchi wote wa Tz kuhudhuria uzinduzi wa Campeni wa kumnadi mgombea wetu mahili na mpiganaji wa kweli, Kijana Joshua Nassarii!
   
 19. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kura za kweli za CCM 20% watakazoiba(kuchakachua)35% Jumla ya kura za ccm ni 55% na hawa CDM kura zote ni 40% uwezo wa kuchakachua hawana. Asilimia zitakazobaki na zile zilizochakachuliwa za ccm ni kura zitakazo haribika.Sasa ccm watatumia mwanya huo wa kuharibika kwa kura kuchakachua.

  Ni mtazamo tu!!
   
 20. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Unaishi wapi ndugu yangu??? Upo Arsh au upo mikoani? Sidhani kama kweli unaifahamu vzr halisi iliyopo Arumeru! Pole sana, rudi tena ukafanye utafiti upya! Kwa taarifa yako CDM itapita bila kizuizi chochte!
   
Loading...