Tamko la MAT kufuatia hukumu ya Mahakam Kuu, Idara ya Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la MAT kufuatia hukumu ya Mahakam Kuu, Idara ya Kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bramo, Mar 9, 2012.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  1: Mahakama imekuwa biased kwa kumsikiliza mlalamikaj pasi Kumsikiliza Mlalamikiwa.
  2. Mahakama ilitakiwa pia kumpa Mlalamikaji Time frame ya kusema ni lini atapatia ufumbuzi madai ya Mlalamikiwa.

  Mwisho kabisa: Haturud Nyuma hadi kieleweke
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Imbombo ngafu
   
 3. P

  PWERU Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha u.ji.nga. Wa kupingana na serikali!tii mamlaka ya kidunia
   
 4. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Na loli!
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbombo nu bhukifu
   
 6. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  KIle kipindi cha zidumu fikra za mwenyekiti hazipo tyena ndugu yangu.
  Nyie ndo wale Magamba wakisema "Tembeeni uchi" Mna tii bila ku question
  Kalaghabao
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Mwe! Jimbombo Jilipo Malafyale, walifikiri madr ni sawa na wale mbayuwayu?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mimi hiyo amri ya mahakama sijaipenda kabisa.
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kumbe wauwaji wako wengi. mnatanguliza matamanio ya nafsi zenu kuliko utu? viumbe wa ajabu sana. ivi mliambiwa huyo waziri atabaki pale milele? kisingizio chenu cha kugoma msidhani jamii imefurahishwa nacho. na mna bahati serikali bado imewapa kichwa sana.mtakuwa mmezingirwa na mapepo machafu, mnahitaji muombewe.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sijui nani kawashauri watumie mahakama?
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  ndo kina nani hao p.u. *m*ba.**f.
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe ndio umetoa hilo tamko? Hilo tamko si la kimaandishi kama ni la kimaandishi tuwekee basi hapa kwa kuwa siamini kuwa tamko linaweza kuwa fupi kama hivyo.
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwahiyo na we Nyani unaona mko sahihi kugoma? kwa lipi hasa wewe unaliona lina tija mpaka muwe sehemu ya vifo vya watu? Ukiunga mkono ukatili huo ujue hiyo damu iko juu yenu
   
 14. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tukuketa untoli
   
 15. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Naloli mbombo jilipo malafyale
   
 16. L

  Lua JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmhhh! tamko jepesi kama kisoda.
   
 17. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Ndio chombo cha kutoa haki!!
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hao watakuwa zaidi ya mbayuwayu we subiri tu, kumbuka hata babu wa loliondo alijipatia umaarufu mkubwa lakini sasa media zinamuangalia kama kichefuchefu. Natamani kila anayewaona madk wako sahihi Mungu ampe mtihani ima wa kuugua yeye mwenyewe au auguze, ndio ataona kama hao wamechemka ile mbaya.
   
 19. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...hapo sasa!,kama luga zenyewe za mawasiliano tz ndo hizi,kweli dr kutoka china ataelewa mgöjwa anaumwa nini?...
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Vifo vipo siku zote hata ninavyotype hapa kuna kina mama na watoto wanakufa kule tandahimba kwa sababu hakuna skilled nurses, drs au dawa ili kumsaidia mama huyo na mtoto kusurvive,tunatumia hela nyingi kupeleka viongozi kutibiwa nje kuliko hela tunayotumia kuboresha mfumo wetu wa afya... wanaosababisha vifo ni serikali yenu lege lege na sio madaktari, kama madaktari wanataka mapinduzi katika sekta ya afya ntawaunga mkono mpaka kufa
   
Loading...