Elishilia Kaaya, Joshua Nassari na Vincet Nyerere (Mb) wakutana kwa siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elishilia Kaaya, Joshua Nassari na Vincet Nyerere (Mb) wakutana kwa siri

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chachana, Mar 9, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikao hiki kimefanyika jana huko meru kwa moja ya makada wa chadema.
  Elishilia kaaya ameamua kuweka ukada wa chama pembeni na kuamua kusapoti ukweli na inasemekana anamuunga mkono mgombea wa chadema na ameahidi kumsaidia.
  Hata hivyo wafuatiliaji (askari wa chama) wa CCM wanafuatilia nyendo za elishilia kaaya na ndio waliovujisha habari ya kikao hicho kilichofanyika jana saa tano usiku mpaka saa saba usiku. wafuatiliaji hao kwa hamaki walimjulisha kiongozi wa ccm wa kata hiyo na kisha mchezo mzima ukaharibika.
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa yeye Elishilia ndio anachukua data za CHADEMA kupeleka kwa magamba!
   
 3. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hata wakikutana kwa dhahiri hapo jua hakuna kitu. kwa hao jueni mapema jimbo mmelitoa sadaka. na wasiwasi kuwa kura mtakazo pata zitakuwa chache sana ukilinganisha na za Igunga. Poleni sana kwa kujiaminisha kuwa hiyo ndiyo timu ya kuwaletea ushindi. Mlio wengi wafuasi wa CDM nafsi zenu zimesha wapa picha halisi ya Arumeru kuwa mnaenda kutalii na kujibomoa zaidi.
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kikao hicho kimefanyika Leganga na alitoa barua iliyoandikwa na uhamiaji kwa ajilia ya kupeleka pingamizi la Siyoi kuwa siyo Raia na pia amekabidhi Nyaraka nyingi muhimu kwa ajili ya kuhakikisha ushindi wa CHADEMA kikao kimefanyika Transit in kari bia na CRDB
  Chanzo changu cha Habari kimenitonya pia Mwigulu ndiye mpangaji wa mpango mzima maana sekretariet ya Chama haipo na Siyoi,Mwigulu na Kaaya walitekeleza agizo kutoka juu ambalo walipewa kwa simu na Jenista Muhagama
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  what is this? None sense.
   
 6. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Duh, kijana awe mwagalifu sana lest they poison him like they did to Mwakyembe.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu siamini hili. Jamaa yuko AICC na anajua mwenzake aliyekuwa mwalimu kule kwa wazazi alitimuliwa! Huenda ni kachero. Handle with care at your own risk.
   
 8. L

  Lua JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kila la kheri katika safari hii ya siku 21.
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hili sio jambo rahisi kiiivooo,
  yani kwamba kamati kuu ya CCM isipomtaka mtu, basi imuuze kwa wapinzani, na wapinzani wanunue kirahisi hivyo!

  No F way.
   
 10. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  Tutasikia mengi.
   
 11. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ccm wameisha soma dalili wameona maji in malefu na hakuna mtu wa kuvuliwa hijab ili kuokoa jahazi sasa wanaandaa mazingira ya kuelezea sababu za kushindwa
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA KUMPA KAMANDA VICENT NYERERE MTIHANI ARUMERU MASHARIKI:
  SIFA NADRA ZINAVYOZIDI KUDHIHIRISHA KWAKE KULE ARUMERU MASHARIKI WATANZANIA TUJUE MWALIMU KAFUFUKA UPYA BUTIAMA KWA PICHA YA HUYU KIJANA NA JOHN MNYIKA WOTE WA CHADEMA


  CHADEMA kwa uhakika Tanzania nzima imefurahishwa kwa namna mnavyompa uzoefu wa hali ya juu ki-uongozi kijana wetu mpendwa Vicent Nyerere.

  Mbali na nyinyi kumpa mtihani kule Arumeru Mashariki, hadi sasa tunachokiona kwake ni pamoja na:

  1. Ubunifu wa hali ya juu namna gani kuwa Kampen Manager hodari,

  2. Uwezo mkubwa wa kushirikiana na wenzie pamoja na wenyeji wa Arumeru,

  3. Kucheza kama mwana-timu na wala katu hakimbii na mpira wa kisiasa uwanja mzima goli hadi goli kama Maradona enzi hizo,

  4. Hajajiruhusu kuwa mfungwa wa kujiona mtu mwenye upekee wowote ule,

  5. Kwake siasa za majungu na fitna katu,

  6. Hupokea maelekezo na kufanya mara tatu ya ufanisi uliotarajiwa,

  7. Hajitokezi sana kwenye vyombo vya habari na hupenda kuka 'viti vya nyuma' na wala si kujikweza,

  8. Hashiriki siasa za sura-mbili na majungu kwa wakati mmoja ... yaani huyu kijana!!!

  .... Wengine huku nje ya uwanja tunaoendele kumsoma bila ya yeye kujua lolote lile wenzenu tunajihisi kama vile mbali na misimamo thabiti ya Mhe Makongoro Nyerere kule Mara hidi ya mdugu UFISADI, kwake huyu kijana kila leo tunazidi kumuona Baba wa Taifa Julius K. Nyerere kazaliwa upya katika nyumba yetu.

  Kwa tathmini zangu hizi juu yake tena bila upendeleo wowote; wenzangu ngojeni mtaona huko mbele ya safari. Ndani ya CHADEMA kuna nyota ya mashariki na ishara zake zote.

  Ndio, nasema hivi kijana huyu afundishwe kitu
  UONGOZI WENYE UADILIFU uliotukuka maana hiyo ndio bidhaa kubwa ajabu iliokosekana Tanzania hadi leo hii na kufanya chama hiki pekee ndicho kibakie tumaini la MWISHO kwetu sisi wananchi tusiokua na kitu!!
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,513
  Likes Received: 5,638
  Trophy Points: 280
  Muafaka wa majeraha ya uchaguzi imeshindikana sasa "wenyewe" wameamua bora wote tukose!
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mtu yoyote toka kwa magamba ni wakuangalia sana kwasasa..hata kama ameamua kujiunga nasi ni wa kuangalia sana hawa..huu ni wakati wa mapambano,tupo vitani hatupaswi kufanya kolabo na mtu ambaye hatuna uhakika nae.
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Katika mambo ya kivita adui akijisalimisha inabidi awekwe kwanza kando asije akawa ametumwa. Tena hivi sasa kuna watu wa kujilipua basi hata katika siasa unaweza kukuta wapo wa kujilipua siyo kwa mabomu bali kisiasa na kuchukua strategy zenu kwa ajili ya adui. Hii ni kwa vyama vyote.
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  mgeni wenu.... utawapata wengi sana lakini si wote, vipi umeshafika USA river toka Tanga.
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  wacha kutoa mapovu kama ya OMO kwenye kibodi njo uwanjani.mwanaizaya weee
   
 18. K

  Keil JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama Mwigulu na wenzake walikuwa na ushahidi wa hiyo barua kutoka Uhamiaji, kwanini hawakuipeleka kwenye kikao cha Kamati Kuu ili itumike kama sababu ya kukata jina la Siyoi?

  Mwigulu ni Kampeni Meneja wa CCM huko Arumeru, na lengo lake ni kushinda, sidhani kama kuna Kampeni Meneja anaweza kuwa na lengo la kushindwa ili kujitia aibu, kwa sababu once CCM ikishindwa, Meneja wa Kampeni ndio anakuwa wa kwanza kunyooshewa kidole.

  Jenista Mhagama ni nani ndani ya CCM? Hayumo hata ndani ya CC, halafu leo ndio atumike kutekeleza hayo maswala?

  Post hii ina maswali mengi sana na walakini mkubwa sana. CHADEMA wa hapa jamvini wanaweza kuwa wanafurahia lakini kumbe ni uongo tu.
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jamani leo jammii forums imejaa habari nyingi nizipendazo
   
 20. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa Nape ndo kampeni meneja habari hii ingekuwa na ukweli japo kiduchu. Ila kama ni Mwigulu Nchemba nimjuaye mimi, hii habari hata Shigongo angeipotezea kwenye magazeti yake ya udaku
   
Loading...