Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu Nnape, Pole na majukum ya kazi ya Chama chetuu cha CCM. Mimi niko huku nyumbani Mtwara. Nimefanya uchunguzi nikagundua kuwa ww ni mwana we kwetu, ikaniuma sana kuona ukipata tabu pale Ubungo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna gazeti moja la leo lime report kuwa naibu waziri wa nishati na madini ameibiwa vitu vya thamani ya tshs 23mill ila hawakumuibia bastola na SMG.....hivi jamani SMG si silaha ya kivita, je...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu uchaguzi mkuu ufanyike nchini(2010)rais amekua ni mtu wa ziara nje ya nchi huku ndani ya nchi ni migogoro,migomo,mauaji na utendaji usifaa wa wasaidizi,lakini sijamsikia akiwawajiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wote tumesikia kwamba mgombea ubunge kupitia ccm sioi sumari ametoboa maskio ikiwa ni ishara ya kuvaa hereni nyie mnalichukuliaje? Kwa upande wangu naona kapoteza sifa kabisa ya kuwa kiongozi na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika uzinduzi wa kampeni ya ubunge kwenye jimbo la arumeru mashariki mgombea wa chadema alitoa kauli moja nzinto, aliongea mambo mengi ya msingi alakini funika ni lile la kuhusu wazazi...
6 Reactions
59 Replies
6K Views
Sat, Mar 10th, 2012 Tanzania | Sat, 10th March 2012 Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe Tanzania plans to open a High Commission in Australia within the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHADEMA WAJISAHIHISHE. Ni vita tena kati ya CHADEMA na CCM.Safari hii ni uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki.Ni vita kati ya Siyoi Sumari (CCM) na Joshua Nassari (CDM).Ni vita...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HII NDO CV YA MADAM LUCY NKYA, ANAONEKANA AMEENDA SHULE NA EXPERIENCE LAKINI MAMBO ANAYOYAFANYA HAYAENDANI NA HIVI....... GENERAL...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
wanajamvi ni wazi kwa waliotizama ufunguzi wa kampeni arumeru mjionea wazi jinsi watu walivyohamasishwa na wakahamasika kutoa kitu chochote kama sadaka kuichangia cdm. Hii inaonesha wazi ni jinsi...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni Kwenye kikao chake na viongozi wa serikali zilizo kuwa zinafanyika kwenye ofisi ya Kata ya maji ya chai...Awali habari ziliwafikia viongozi wa CHADEMA kuwa Mwigulu na wafanyakazi hao wa...
9 Reactions
113 Replies
10K Views
Wakati Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, akisisitiza hatua ya kuendelea kuwatimua viongozi na wanachama wanaodaiwa kukiuka maadili na katiba ya chama, viongozi wengine...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
hiv n kweli wanaopigania kuhusishwa kwa watanzania katika kujadili katiba mpya wanawapigania watanzania kwel?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Mbunge wa Moshi mjini Philimon Ndesamburo ametangaza kutoa usafiri wa bure wa kuelekea kwa Babu Loliondo ambae anasadikiwa kutibu magonjwa sugu. Ndesambulo amewataka wakazi wa Moshi mjini na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwaka 1961 tulipata uhuru na kwa siasa zetu za kipindi kile yaani Ujamaa tulijikuta tukipata upinzani kwa namna moja au ingine. Utakumbuka wazungu walikimbia na kwenda sio mbali sana ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk. Je CHADEMA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna post moja iko humu jamvini Ina potosha watu kuhusu ruzuku na vyama vya siasa na kuwa maneno haya kayasema mbowe,ni kweli alisema lakina haku maanisha hivyo kama baadhi ya watu wanavyo taka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Clinton alisubiri hadi kura ya senate kwa uzinzi, lakini hakuibiwa! Nimechoshwa na post nyingi za kumbembeleza Adam Malima aachie ngazi kwa uzinzi, naye kama zuzu kaenda kutoa news brief kwa...
1 Reactions
0 Replies
894 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
Ifuatayo ni hadithi ya kweli nilisimuliwa na Baba Yangu mwaka 1987. Nimeona nichangie nanyi. Ipo Hivi:- Mnano mwaka 1987 jioni nimetoka shule ya msingi mimi na baba tulikuwa tunasikiliza taarifa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu salamu sana. nimejaribu kufuatilia na kujiridhisha sababu za mgomo wa madaktari na kuona kuwa mawaziri hawa walikuwa na nafasi kubwa ya kuzuia mgomo huu. tatizo la intern doctors doctors...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom