CDM : Twendeni kimkanda mkanda Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM : Twendeni kimkanda mkanda Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by GeniusBrain, Mar 10, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CHADEMA leo hii wanategemea kuzindua kampeni zao za uchaguzi wa Jimbo la Arumeru katika uwanja wa shule ya Msingi Liganga ambapo viongozi wakuu na wabunge wao wote wanategemea kuhudhuria. Wakati hayo yakitegemewa kutokea leo, hali bado ni tete ndani ya chama kuhusu mustakabali wa kampeni hizo. Kwani chama hakina rasilimali za fedha na vifaa kuendeshea kampeni hizo kwa sasa kwa ajili yakukidhi matumizi ya timu ya kampeni, Helikopta, magari nk,. Na mkakati pekee ambao wanaoutegemea ni kupitisha bakuli kwa wananchi. Kwa maana hii basi , ni wazi kabisa CDM kuendesha kampeni hizi kimkanda mkanda na wadadisi wa mambo wanaliona hili litakuwa ni tatizo kubwa tofauti na wenzao wa CCM ambao wanaonyesha wazi wako vizuri kifedha, watu na kimkakati.
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  silaha yetu kubwa tunayojivunia ni UZALENDO na MSHIKAMANO ambavyo hivi ni zaidi ya pesa. watu wako tayari kujitolea bila Posho hii ni tunu kubwa ambayo chadema inabidi iitunze sana kwa maana CCM wenzetu wameipoteza kwa maana wanachama wao hawaulizi tena swala la pesa bali ni kiasi gani mtatulipa kwanza ?? . kama ambavyo wengi mlisikia umoja wa vijana wakilalamikia posho ya shs.5000 kuwa ni ndogo. matumizi ya pesa ni sumu mbaya sana ktk uongozi kama mnavyoona imeshaanza kuitafuna CCM.

  binafsi nitasafiri kwenda Arusha na kujitolea usafiri wangu kutumwa kokote chama kitapoona unaitajika.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii ni dhana yakizamani sana. Bila pesa helikopta itaruka kwa kuweka maji ? bila pesa matangazo yatafanyikaje? bila pesa mgombea atatembeaje kwa wapiga kura? bila pesa timu yakampeni itakula nn ?. Kampeni za sasa ni pesa kwa vyovyote utakavyo

   
 4. S

  STIDE JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Utumbo tu, ila hongera kwa kuanzisha thread leo!!
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mbona ume tone down leo ,jana siulikuja na matusi kuonyesha kampeni meneja hajua afanyalo au umekuja kusesembua ili ujue kama wana pesa au hawana , hakuna mjinga hapa weye,embu toa suluhisho basi
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kizabi zabina haachi umbea. Haya tuambie na ninyi wenzetu nchi haina hela mnatembezea bakuli kwa ROST TAMU AU EL?
   
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,850
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  money is not everything!! Think Twice My Dear!! Wapo watu wako Tayari kuwezesha ili Demokrasia iweze Kufanya Kazi Yake!!
   
Loading...