Waganga wakuu wa mikoa na wilaya wagawanyika juu ya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waganga wakuu wa mikoa na wilaya wagawanyika juu ya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uda, Mar 9, 2012.

 1. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna taarifa ya mgawanyiko mkubwa uliotokea kwa waganga wakuu wa wilaya na mikoa kuhusu mgomo wa madaktari.group la kwanza lenye vijana wengi linataka kutoa tamko dhidi ya serikali,linataka mawaziri waachie ngazi.kundi hili limeamua kutetea profession yao.kundi la pili bado linataka utii kwa serikali uendelee.
  Kweli huu mgomo unaweza kuleta historia tanzania.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wewe uko upande gani?
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani tunahitaji upembuzi zaidi juu la hili kusema hivyo haitoshi.Kwa mfano ni wilaya gani na mikoa gani kuna mvutano zaidi na ikiwezekana hata idadi ya kila kundi.
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  zote ni propaganda! Hali ni mbaya! Hata kama wagome muhimbili tu hapatoshi!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hili nilianza kulisikia toka jana
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  unafahamu nafasi ya DMO na RMO inavyopatikana? thubutu...
   
 7. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shilingi ina pande tatu. Kuna akina sisi tusiounga Madaktari wala Serikali. Mimi napendekeza Serikali ishughulikie maslahi ya wote kwa haki; si tu kwa Madaktari. Iwashushe kabisa Wabunge wawe sawa na watumishi wengine kwa kuwalipa mishahara kutokana na viwango vya elimu na ujuzi wao.
   
 8. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  watu wako busy kumshughulikia Malima, huku tunafanya kuchungulia na kutoka leo uzi wake umechukua jackpot
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mgomo wa awali, DeD wa Wilaya ya Mufindi aliwaita madaktari na kuwaomba/kuwapiga bit wasifanye mgomo kweli wakaufyata! c ajabu hata ikiwa leo linatokea pande zingine
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  DMO's na RMO's wengi ni ma-Assistant Medical Officer,vyeti vya kuunga-unga...
   
 11. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usemalo ni sahihi...hali tete....TUNAHITAJI KUFANYA KITU KAMA PIPO
   
Loading...