Wanajamvi ebu tuangalie hii hoga ambayo Johnson Mbwambo ameiandika kwenye Toleo la Wiki Hii la Raia Mwema juu ya mkono wa sheria na mafisadi:WIKI iliyopita ilikuwa ni wiki ya furaha kubwa kwa...
Ukiwackiliza watanzania utagundua kuwa wengi wao wanatarajia kuletewa maendeleo na vyama vya siasa haswa CCM na CHADEMA!
Mimi naamini kwa mfumo huu tulionao hatuwezi kupata maendeleo hata kama...
Ndugu zangu,
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Serikali ipo kwenye hatua ya mwisho ya utekelezaji wa mpango wa dharura wa kuleta madaktari kutoka nchi za Cuba, India na Cihina ili kuziba pengo...
Hivi watu wa itv hawaoni aibu kutumia jingles
za kipindi cha hardtime cha bbc?????
I mean kipindi cha itv cha dakika 45 ni kizuri. But kama wewe ni mtazamaji mzuri wa
hardtalk cha bbc utakuta...
Tunaomba kujua wapi na jinsi gani ya kupata CD za uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Arumeru Mashariki. Mimi niko Mwanza, ila ni vizuri kwa yeyote anayetoka sehemu yoyote Tanzania kuelekeza kwa wadau...
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 09/03/2012 // Habari-Picha // 1 Comment
Wananchi mbali mbali walioshiriki katika Mhadhara wa Kiislamu uliofanyika leo uwanja wa Ijitimai huko...
Ndugu, Kweli nimeamini safari ya maendeleo ya Tanzania ni ndefu; najiuliza hawa wabunge hodari sana kutoka chama makini sana Tanzania wameshindwa ku-solve issue ndogo kiasi hiki ya kuondoa foleni...
"A Govt which uses power/force to rule it's people teaches the people to oppose the Govt"
Hon. Mbowe quoting Comrade Mandela!
Nawaalika wanajamvi tutafakari kauli hii vs ubabe vyombo vyetu...
Hakuna cheo nisichokitambua na ambacho kina wababaisha watu wengi huku mtaani kwetu kama hiki cha balozi.Wengi hata wale waliokwenda shule bado wana endekeza enzi za chama kushika hatamu ambapo...
nimesoma vyombo vya habari mbalimbali leo vikinukuu kuwa Star TV itaonyesha live coverage ya uzinduzi wa kampeni za cdm kuanzia saa tisa alasiri. Naona sasa inaelekea kumi kasoro ni tamthiliya kwa...
- Mkutano kurushwa LIVE na STAR TV na pia kurushwa LIVE kupitia Internet CHADEMA TV (Online)
- Maandamano ya kufa mtu - Kutoka njia mbili: USA river na KIKATITI.
- HELCOPTER (CHOPPER) mwanzo...
Ndugu pinda anawaona madaktari kuwa watu wasio na utu kwa kugoma kuwatibu watanzania mpaka pale waziri mponda na naibu wake wajiuzuru.
kwa upande wangu mi naona pinda ndo mtu asiye na utu kwa...
Siku Tanzania tukiwa na vyama vya siasa vya ukweli kama ilivyokuwa enzi za TANU na ikifika siasa za kweli zikifanyika kwenye nchi yetu, ndipo tutakuwa na uwezo kuijenga nchi yetu na kusonga mbele...
"A government which uses force to maintain its rule teaches the oppressed to use force to oppose it". - Nelson Mandela.
Magari na msururu wa police Arumeru Mashariki ya nini?
The information I have is that the following bills or proposed ammendments are expected to be tabled in parliament from 30th October:
The Constituency Development Fund Act, 2007
The Petroleum...
leo cdm wanazindua kampeni zao Arumeru,nw wapo maeneo ya USA krb na chuo kikuu Tumaini Makumira,FFU kila kona ya USA,vijana wa chadema wamejipanga kila kona yani ni chamrachamra za kutosha,kwa...
CHADEMA imemwekea pingamizi mgombea wa ccm Siyoi kwa madai kuwa si raia wa Tanzania.CHADEMA imenasa barua ya siri yenye Kumb no.AR/C/32/VOL1/85 ya Feb 29/2/2012,kutoka kwa Afisa mfawidhi wa...
cha madaktari kinachoendelea Don Bosco sasa hivi kimeazimia kuahirisha mgomo wa Madaktari ili kumpa muda Mh. Presidaa aweze kushughulikia madai yao kama walivyoelewana jana Ikulu.
My Take...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.