Malima Jiuzulu, kama vipi hii yako kama ya clinton?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Clinton alisubiri hadi kura ya senate kwa uzinzi, lakini hakuibiwa!

Nimechoshwa na post nyingi za kumbembeleza Adam Malima aachie ngazi kwa uzinzi, naye kama zuzu kaenda kutoa news brief kwa waandishi akikana kuwa hajaibiwa na mwanamke. Jambazi gani ataiba simu na kuacha bunduki. Malima bana hebu tutendee haki; achia ngazi hao wadada utawapata tu kwani ukwasi unao. Sema huyo aliyekutungua hata mimi kaniburudisha moyo, utavuna ulichopanda buege!
 
Back
Top Bottom