Hivi kazi kuu ya Mh.Rais ni ipi?

Kapo Jr

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
996
280
Tangu uchaguzi mkuu ufanyike nchini(2010)rais amekua ni mtu wa ziara nje ya nchi huku ndani ya nchi ni migogoro,migomo,mauaji na utendaji usifaa wa wasaidizi,lakini sijamsikia akiwawajiba wasiotimiza wajibu wao.mfano mzuri mgomo wa madaktari madai yao ni mengi hasa mawaziri wa afya likiwa moja kati ya hayo,wakigoma madaktari sisi wananchi wa kawaida ndio tunaoathirika,hata awe rafiki anapokosea awajibishe kulingana na sheria husika
 
Back
Top Bottom