Kuhusishwa kwa watanzani ktk mjadala wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusishwa kwa watanzani ktk mjadala wa katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by grace shayo, Jan 18, 2012.

 1. g

  grace shayo New Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiv n kweli wanaopigania kuhusishwa kwa watanzania katika kujadili katiba mpya wanawapigania watanzania kwel?
   
 2. G

  Galinsanga Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni maono ya weledi kuburuza wajinga na wapumbavu kwa maslahi yaweledi.
  Hasa baada ya kukosa mada hoti za kufanyia sihasa za vyama vyao.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi kigezo chako cha utanzania ni kipi?
   
 4. M

  Mgaza jm Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  elimu bado inahitajika katika kuwaelimisha juu ya Katiba iliyopo kwanza
   
 5. Anna Mghwira

  Anna Mghwira Verified User

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
  Sehemu chache nchini na hasa za mijini zimepata elimu ya sheria ya mabadiliko ya katiba, maeneo mengi bado, waliopata wanataka kuijua katiba iliyopo walinganishe waamue. Mashirika ya hiari yamejitahidi kutoa elimu na bado haitoshi, nguvu na juhudi za ziada zinahitajika. Kuna tija nadhani kwa vyama vya siasa kuchangia na kuwakilishwa kwa sababu wafuasi wao ni raia wenye haki kuwakilishwa katika jambo hili. Kimsingi hakuna kundi la jamii lisilotakiwa kuwakilishwa mambo ya katiba.
   
Loading...