JK anaomba nje kwa maendeleo ya nchi, chadema wanaomba ndani kwa maendeleo ya nani?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk.
Je CHADEMA wanapopitisha bakuli kuomba fedha za kampeni katika chaguzi mbalimbali hapa nchini ni kweli hawana fedha, ni usanii au kwa ajili ya kushibisha matumbo ya wachache?
Nawasilisha.
 
Ukanjanja ni shida sana. Endelea na akili zako za kuvukia reli.
 
Umeandika nawasilisha kwa bwebwe,ulichowasilisha ni kipi? Kaa chini tafakari uliyoandika utajua mapungufu yake.

Unajua Angel always mtu mpumbavu alafu akajijua kua ni mpumbavu uwa anajaribu sana kuficha upumbavu wake kwa jamii,lakini mtu mpumbavu wa kwanza na hasiyejijua kua ni mpumb**u uwa anataka kujikakamua nae aonyeshe upungufu wake kwa jamii,sasa sijui ndugu yetu ameandika thread gani hapo juu,ubaya hajijui kama yeye yupo kwenye kundi la pili tena wa level ya juu!cha kukushauri watu kama hao hachana nao,usiumize kichwa chako kwa watu minor kama hao
 
Ivi chadema wanaomba? Ivi kujinunulia suruali ni kuomba? Tafakari.we utakuwa yule mbunge wa kishapu asiyehudhuria bungeni bw Suleiman Nchambi.
 
maelezo yoote aliyoyatoe mwenyekiti wa chadema hukuyaelewa? mbona watu wameelewa na kuchukua hatua mara moja sasa mwenzetu wa jf kashindwa kuelewa kusudi la michango ile! nashangaa! lakini kwa sababu umechukua muda wako na kuonyesha usichoelewa basi wewe ndo tumekuelewa vizuri.
 
Utahemewa mgongoni wewe! Soma nyakati!

Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk.
Je CHADEMA wanapopitisha bakuli kuomba fedha za kampeni katika chaguzi mbalimbali hapa nchini ni kweli hawana fedha, ni usanii au kwa ajili ya kushibisha matumbo ya wachache?
Nawasilisha.
 
yaani cdm kuwaomba wanacdm kwako limekuwa tatizo by the way hulazimishwi, tuachie hii ngoma ni yetu wewe kaa pembeni na gamba lako
 
Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk.
Je CHADEMA wanapopitisha bakuli kuomba fedha za kampeni katika chaguzi mbalimbali hapa nchini ni kweli hawana fedha, ni usanii au kwa ajili ya kushibisha matumbo ya wachache?
Nawasilisha.
Mods mpige ban huyu, hana akili. kwanza anaonesha alivyo kiazi, nadhani kasomea sekondari ya kata, halafu anafikiri upeo wake wa kufikiri umepevuka. Aaargh!! Watu wengine bwana.....
 
JF is Home of the Great thinker, ipo siku huyu Sugu1 na yeye atakomaa na kua Great thinker, asipokomaa ataaga mwenyewe kama Barubaru, siku pumba na mchele havikao pamoja...
Viwavi kama hawa haina budi kuenda nao sambamba ipo siku wataflet mapigo
 
Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu
...Watanzania karibia wote, huitakia mema nchi yao, tena, baadhi yao huomba kila siku kwa mwenyeenzi Mungu, ailinde. Hawana uhakika kama iko salama tena.
wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk.
...Huoni haya kuongea uongo? Mradi upi wa maji umefanyika, kwa mfano Dar es salaam, ambapo mahitaji yake yanakuwa siku hadi siku?
Je CHADEMA wanapopitisha bakuli kuomba fedha za kampeni katika chaguzi mbalimbali hapa nchini ni kweli hawana fedha, ni usanii au kwa ajili ya kushibisha matumbo ya wachache?
...Bora ushibe cha nduguyo, kuliko kuomba kwa wageni. Msaada huanzia nyumbani.
 
sawa jk anaomba nje,natumai nawe utakuwa wa kwanza kutekeleza sharti la cameroon ili upate huo msaada!
 
Mara kadhaa watu wasiyoitakia mema nchi yetu wamekuwa wakilalamikia safari za mkuu wa nchi kuwa hazina tija wakati tunaona ujenzi wa barabara, Miradi ya maji, Miradi ya kilimo nk.
Je CHADEMA wanapopitisha bakuli kuomba fedha za kampeni katika chaguzi mbalimbali hapa nchini ni kweli hawana fedha, ni usanii au kwa ajili ya kushibisha matumbo ya wachache
Nawasilisha.

JK Anaomba nje kwa ajili ya Mafisadi. Chadema wanaomba kwa wananchi kwa ajili ya maendeleo yao wenyewe.
 
Wale omba omba watu wazima waliokamilika viungo vyote huwa unawapatia msaada wa fedha pindi wakuombapo??
"JK is running straight back to what we ran away from 50 years ago under the reign of our dear Mwalimu"
 
Back
Top Bottom