Hili la sioi sumari kutoboa masikio unalionaje wewe

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wote tumesikia kwamba mgombea ubunge kupitia ccm sioi sumari ametoboa maskio ikiwa ni ishara ya kuvaa hereni nyie mnalichukuliaje?
Kwa upande wangu naona kapoteza sifa kabisa ya kuwa kiongozi na hivyo wananchi wa arumeru wamuadhibu kwa kutokumpa kura
 
kama ametoboa amefanya kitu kizuri sana sana kwa kuuenzi kwa vitendo utamaduni wa Mwafrika MMASAI ambae hutoboa sikio na kuvaa hereni za asili,yeye atakuwa ameboresha
 
Naona umekosa kitu cha maana chakuongea . Fanya hivi .... Nendeni mshaurini mgombea wenu ajifunze kuongea kwa nukta na kujenga hoja sio anaongea kama cherehani alafu hamna point yoyote ya maana anaongea.
 
...tuko C C hakuna siasa humu!..huyo ametoboa maskio kimila sio kama KUCHU!
 
kama ametoboa amefanya kitu kizuri sana sana kwa kuuenzi kwa vitendo utamaduni wa Mwafrika MMASAI ambae hutoboa sikio na kuvaa hereni za asili,yeye atakuwa ameboresha

yeye katoboa sikio 1. Wamasaia huwa wanatoboa maskio mawilii
 
ni tabia za wakenya!kama vile mmarekani asivyoishi na mke lipumba nae hivyo hivyo
 
kama ametoboa amefanya kitu kizuri sana sana kwa kuuenzi kwa vitendo utamaduni wa Mwafrika MMASAI ambae hutoboa sikio na kuvaa hereni za asili,yeye atakuwa ameboresha

Mmasai wa wapi yule au ndiyo ukipenda chongo? Wameru anasema akagombee kwa Cameroon, kazi anayo.
 
Naona umekosa kitu cha maana chakuongea . Fanya hivi .... Nendeni mshaurini mgombea wenu ajifunze kuongea kwa nukta na kujenga hoja sio anaongea kama cherehani alafu hamna point yoyote ya maana anaongea.

Jumatatu siyo mbali tutamuona mtoboa masikio. Wameshaambiwa la kufanya na wanakijua wanakula CCM na kulala CDM, kazi ipo. Kifupi nipo USA saizi tafiti yangi dogo yupo juu aheri mngemleta Sarakikya.
 
Me sioni ubaya wowote.Kama utendaji wake ni mzuri which is nat true basi haina tatizo
 
Kiikwetu Sioi ni Tusi kubwa, nashindwa hata kuchangia! Ila kwa Kiswahili ukisema Sioi basi Unaolewa! Na ndio maana dogo ametoboa masikio kabisa anasubiri kuolewa na .......ri!
 
mwanamme akishaanza shindania vidani mawa karolaiti na mkewe, hapo kuna taabu.

Acha wakapitishe sheria za ukameruni bungeni.
 
naona jana Kamanda Lema, alimchana live, kazi anayo na uhakika CCM hapa imekula kwao...
 
Kuna moja kati ya sikio ukitoboa unaashiria kuwa wewe ni bwabwa.Sijui kamanda wa magamba ametoboa sikio gani?
 
mie hata atoboe lipi
mi kwangu yote bwabwa tu

Labda iwe ile ya kimila, lakini hii ya kimjini mjini, siamini kitu.

Mtakuja gundua, kumbe na nyusi anapalilia.
Kuna moja kati ya sikio ukitoboa unaashiria kuwa wewe ni bwabwa.Sijui kamanda wa magamba ametoboa sikio gani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom