Si tena shinikizo za nchi za Magharibi...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si tena shinikizo za nchi za Magharibi......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zizu, Mar 11, 2012.

 1. Zizu

  Zizu Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka 1961 tulipata uhuru na kwa siasa zetu za kipindi kile yaani Ujamaa tulijikuta tukipata upinzani kwa namna moja au ingine. Utakumbuka wazungu walikimbia na kwenda sio mbali sana ni kwa majirani zetu kaskazini mashariki nafikiri umenielewa naongelea nchi gani (sitaki hata kuitaja usiniulize kwa nini). Na vile tulitawaliwa na Waingereza kama mandate territory wakawa hawatuendelezi kivile kwa kuhofia Mjerumani kuja kuchukua koloni lake.

  Baya zaidi 1990 Urusi ikaanguka na kubakiwa na nchi za magharibi kama zenye nguvu ndipo wakati wa uongozi wa Mkapa tukaanza Capitalism. Sijui tukoje mpaka kusaini mikataba mibovu ambayo mingine inatugharimu mpaka leo.Na kwa nini hatukuiga mfano wa ndugu zetu Botswana.

  Leo hii utawala wa JK unaondoka (sihitaji kuuongelea vile ugumu wa maisha kalibu kila mtu ameliona hilo labda kwa washikaji zake wachache) linakuja pendekezo Raisi wa 2015 kuwa mwanamke?

  Huyu ni nani hata kila kitu ahitimishe? Kumng'oa Sitta nafasi ya Uspika bado haitoshi.Au watanzania Tumerogwa?

 2. Zizu

  Zizu Member

  #2

Loading...