Ndesamburo atoa usafiri wa bure kwenda kwa Babu Loliondo

Status
Not open for further replies.

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
9bf6f5fe-eeb3-4eb6-a737-4b7bb7d8f4cb.jpg


Mbunge wa Moshi mjini Philimon Ndesamburo ametangaza kutoa usafiri wa bure wa kuelekea kwa Babu Loliondo ambae anasadikiwa kutibu magonjwa sugu. Ndesambulo amewataka wakazi wa Moshi mjini na vitongoji vyake wenye kusumbuliwa na maradhi sugu kujiandikisha ofisini kwake ili awapatie usafiri wa bure kwenda Loliondo kwa Babu.

Haki-Ngowi
 
hehehehe!!! wa tz tulivyo na akili fupi tutaona mbunge anatujali .. kumbe ame take advantage ya ufupi wa mawazo yetu!! Ndesamburo tafuta ambulance , ongeza zahati pamoja na vifaa, shughulikia ujenzi wa barabara na kafanye yale ambayo wamekutuma bungeni... ili kuonesha unawajali zaidi.. ! ili wakuchague tena kipindi kijacho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom