Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam: Wananchi kutibiwa Hospitali Binafsi kwa Gharama za Serikali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam: Wananchi kutibiwa Hospitali Binafsi kwa Gharama za Serikali...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sosoliso, Mar 8, 2012.

 1. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..

  Source Channel 10..

  Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ungemwangalia vizuri wakati anaongea hili, huenda alikuwa maeneo ya TBL
   
 3. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mmmh ccm hakuna mwenye busara:embarassed2:
  :yawn:
   
 4. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  nyama ya mbafu, unakufa na tai shingoni. let me take my wife 2 aghakhan akajifungue kwa kabill ka mil 3. meck anilipie.teh teh
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  watalipalipaje? Kuna keshia atakaa na fungu la hela kuwasubiri wagonjwa watibiwe yeye awe analipa bill? Au watalipana badae?
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Vipi hata India tunaweza kwenda? Na watu wa mikoa mingine vipi?

  Kwa kifupi serikali ina hela za kutibu watu hospitali binafsi badala ya kununua vitanda Muhimbili, x-ray machine, gloves etc!
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... UFISADI mkubwa uko njiani katika kodi zetu.
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kingine eti hosp za mwananyamala na Temeke zitaboreshwa ili ziwe kama Muhimbili. je Temeke na mwana hawajagoma? na walikuwa wapi? Mkuu wa mkoa alikuwa amelewa sijui maana hizi ni pumba tu
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
   
 10. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Serikali iseme sasa tunaenda kuchukua wapi pesa nami niende India kesho.........
  Kazi ipo hakika hatuna viongozi watanzania
   
 11. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Nasikia anapenda sana kuburudika na Valeur. could b the reason
   
 12. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kumbe urais wa Tanzania ni mwepesi sana,hata mimi naweza kua rais wa Tanzania
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwahiyo huyo mkuu wa mkoa amekua msemaji mkuu wa serikali?
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Waongo bila aibu. This is another type of EPA heading to 2015 elections.

  Wanakusanya hela za kampeni kupitia mgomo wa ma dr.
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mama mjamzito akienda aga Khan kujifungua tena ikahitajika opereshen ni sh. mil mbili na ushee.
  consultation na vipimo vya harakaharaka vya emergence si chini ya laki tatu.
  nadhani wanaweza.
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli sasa tumeanza tunawaya waya!
   
 17. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi bado kuna watu wenye akili timamu ndani ya jeshi la Tz...???
  Wanaiona hali hii na wameridhika nayo kabisa?!
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kila janga linatumika vizuri.
  Sijui hili wazo limetolewa na nani!
  Lakini serikali yetu ina watu makini wanaosumbua akili zao.
  This is a million dollar decision.
   
 19. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha.. mkuu alikuwa anawahutubia akina dada.. alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya wanawake.. So vle vigele gele vilimchanganya na kujikuta anaongea pumba pitiliza..
   
 20. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu sana! Mtu huwezi kuongea upumbavu mkubwa namna hii halafu ukaendelea kubaki madarakani!
   
Loading...