Uprofesa wa Lipumba unaleta walakini!

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,741
511
Kwa jinsi ambavyo ndugu zangu, wanachama na washabiki wa CUF wanavyoupamba uprofesa wa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF napatwa na shaka.

Sitaki kuamini kwamba uprofesa wa mtu ndio unampa kigezo cha kuwa na uwezo wa kuongoza watu au nchi. Lakini wenzetu wanataka tuamini hivyo.

Wanataka tuamini hakuna sifa nyingine inayoweza kumpiku mtu aliyebobea katika uchumi na pengine kufanya kazi na IMF.

Hii dhana inatuambia kitu kuhusu watu ama viongozi waliomo katika chama cha CUF. Inatuambia kitu kuhusu wanachama na washabiki wake. Ng'amua.

Jambo moja la msingi: UONGOZI HAUSOMEWI!

Kwahivyo ndugu zangu, kama mnataka kunishawishi nimchague Prof. Lipumba kwenye kinyang'anyiro cha Urais mwaka 2015, naomba mnipe hoja nzito zaidi ya uprofesa wake katika uchumi. Nawasilisha.
 
kichwa cha habari tofauti na content .. Ingawa una point kwamba usomi wa mtu si kigezo cha kumchagua mtu awe kiongozi.. Ndio maana majimarefu ni mbunge pia .... Its all about democracy ... Humkubali wewe kuna watu wanaomkubali

may take - kajipange upya! allegations zako
100% Cra_P
 
HIKI KICHWA ULIZA MLIMANI WAKWAMBIE:

BRIEF RESUME
Professor Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA
Senior Research Fellow
The Multi-Environmental Society (MESO)
P.O. Box 70949
Dar Es Salaam,
Tanzania.
Independent Consultant
c/o G.V. Mtenga
UNICEF
P.O. Box 4076
Dar es Salaam
Tanzania.
Telephone 255 22 2460775
255 22 2860812
Mobile Tel.255 741 625352
Fax 255 22 2860812
e-mail gmtenga@unicef.org or lipumba@yahoo.com

Field of expertise: International Trade and Finance, Macroeconomics
Development Economics and Agricultural Economics.

Current research focus: (1) Impact of Liberalization of Foreign Exchange and
Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa. (2)
Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa (3) Policies to
Promote Growth in Sub Sahara Africa.
Date of Birth
6th June 1952
Marital Status
Married
2

Education:
1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:
1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of
Dar es Salaam

Employment:
1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development
Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics
Williams College, USA.
1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e.
Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
Salaam.
1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development
Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to
The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area
for Eastern and Southern Africa (now COMESA), Swedish International
Development Agency (SIDA), NORAD, DANIDA, Ministry of Foreign Affairs
Finland, Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation.
3

Other Responsibilities:
2000, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the
United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political
party in Tanzania.
1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of
Helsinki.
1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the
United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis
facing the National Insurance Corporation.
1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems
of Shinyanga Region Cooperative Union.
1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector
Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi,
Tanzania.
1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation
TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar
es Salaam, Tanzania
1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated
Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.
4

Selected Publications:
Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983.
Published by Stanford African Students Association.
Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1.
No. 1, April 1982.
The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic
Reflections, January 1982.
Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy
Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
Tanzania.
The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and
Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
"Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International
Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects
1984.
"Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in
Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank.
Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
"The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John
Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International
Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
"Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International
Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The
Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations
(London, University of Western Ontario).
"A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic
Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
5
"Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and
Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
"The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in
Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre
for Development Research) 1990.
"Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of
Economic Society of Tanzania 1987.
The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani,
Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
Proceedings. 1988.
Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank
Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term
Perspective Study, Vol. I. 1990.
The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and
Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic
Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange
Rate Determination United Nations, New York 1991.
Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United
Nations, New York 1991.
Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African
Development Bank, African Development Report 1994.
Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African
Countries.
United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development
Council Washington, D.C. 1994.
6
"Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy,
Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
"The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in
Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
"An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry
of Finance - Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and
Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998

of Finance - The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The
Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern
Africa (MEFMI) 1998
"The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And
Southern Africa, Mefmi - Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI
Liason Committee (1999).
"Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid
marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human
Development Report.
"Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP
Cooperation South No. 1 1999
"Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented
at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya
December 1999.
 
Ubunge wa maji marefu umekujaje hapa?
 
Huyu yupo profesional zaidi, kwenye siasa anatumiwa tu na wanasiasa kama Maalim Seif, huyu anapaswa arudi kwenye fani yake PERIOD.
 
Ubunge wa maji marefu umekujaje hapa?

Sitaki kuamini kwamba uprofesa wa mtu ndio unampa kigezo cha kuwa na uwezo wa kuongoza watu au nchi. Lakini wenzetu wanataka tuamini hivyo.

umekuja kutokana na hiyo statement yako hapo juu ambayo naku support ni kweli .. elimu ya mtu si kigezo cha mtu kupewa uongozi ! maji marefu ni mfano hai niliokupa ...
 
Bwana Kakakuona. Namkubali Profesa Lipumba ni kichwa kwenye uchumi. Naomba unithibitishie hivyo kwenye uongozi pia lasivyo akaombe kazi Benki Kuu kama kweli anahitaji kuisaidia Tanzania kwa maana uchumi wetu unayumba!
 
Hizo publications tu, ni tosha bila kuonesha shahada zake. Ni msomi wa haja.

Tunaomba na za Mwenyekiti wa CHADEMA. kwi kwi kwi kwi, teh teh teh!
 
umekuja kutokana na hiyo statement yako ambayo ni kweli .. elimu ya mtu si kigezo cha mtu kupewa uongozi ! maji marefu ni mfano hai niliokupa ...

Kumbe unakubaliana na mimi yet you say this is ****!
 
Kakakuona40 hivi Nyerere alikuwa memzidi Lipumba kwa hizo CV za darasani? tukihitaji hayo hatuwezi kupata shida tutakuwa tunaenda pale DARUSO kuwaambia watuchagulie Rais miongoni mwao.
 
Nilikuwa natafuta huo walakini wa Prof Lipumba sijaona, unachoelezea wewe ni Majungu Jazz Band.
 
Kakakuona40 hivi Nyerere alikuwa memzidi Lipumba kwa hizo CV za darasani? tukihitaji hayo hatuwezi kupata shida tutakuwa tunaenda pale DARUSO kuwaambia watuchagulie Rais miongoni mwao.

Kwani Nyerere alikuwa anajuwa kuongoza?
 
Hizo publications tu, ni tosha bila kuonesha shahada zake. Ni msomi wa haja.

Tunaomba na za Mwenyekiti wa CHADEMA. kwi kwi kwi kwi, teh teh teh!

Mkuu wangu CHADEMA imekujaje hapa? Mi namuongelea Mwenyekiti wa CUF. Hakuna sehemu nimetaja mi ni wa CHADEMA wala CCM wala TLP. Ni mawazo tu.

Hiyo CV ni nzuri inafaa apewe kazi BoT.
 
HIKI KICHWA ULIZA MLIMANI WAKWAMBIE:

BRIEF RESUME
Professor Nguyuru Haruna Ibrahim LIPUMBA
Senior Research Fellow
The Multi-Environmental Society (MESO)
P.O. Box 70949
Dar Es Salaam,
Tanzania.
Independent Consultant
c/o G.V. Mtenga
UNICEF
P.O. Box 4076
Dar es Salaam
Tanzania.
Telephone 255 22 2460775
255 22 2860812
Mobile Tel.255 741 625352
Fax 255 22 2860812
e-mail gmtenga@unicef.org or lipumba@yahoo.com

Field of expertise: International Trade and Finance, Macroeconomics
Development Economics and Agricultural Economics.

Current research focus: (1) Impact of Liberalization of Foreign Exchange and
Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa. (2)
Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa (3) Policies to
Promote Growth in Sub Sahara Africa.
Date of Birth
6th June 1952
Marital Status
Married
2

Education:
1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:
1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of
Dar es Salaam

Employment:
1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development
Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics
Williams College, USA.
1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e.
Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
Salaam.
1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development
Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to
The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area
for Eastern and Southern Africa (now COMESA), Swedish International
Development Agency (SIDA), NORAD, DANIDA, Ministry of Foreign Affairs
Finland, Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation.
3

Other Responsibilities:
2000, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the
United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political
party in Tanzania.
1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of
Helsinki.
1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the
United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis
facing the National Insurance Corporation.
1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems
of Shinyanga Region Cooperative Union.
1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector
Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi,
Tanzania.
1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation
TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar
es Salaam, Tanzania
1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated
Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.
4

Selected Publications:
Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983.
Published by Stanford African Students Association.
Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1.
No. 1, April 1982.
The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic
Reflections, January 1982.
Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy
Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
Tanzania.
The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and
Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
"Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International
Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects
1984.
"Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in
Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank.
Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
"The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John
Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International
Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
"Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International
Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The
Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations
(London, University of Western Ontario).
"A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic
Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
5
"Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and
Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
"The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in
Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre
for Development Research) 1990.
"Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of
Economic Society of Tanzania 1987.
The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani,
Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
Proceedings. 1988.
Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank
Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term
Perspective Study, Vol. I. 1990.
The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and
Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic
Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange
Rate Determination United Nations, New York 1991.
Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United
Nations, New York 1991.
Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African
Development Bank, African Development Report 1994.
Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African
Countries.
United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development
Council Washington, D.C. 1994.
6
"Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy,
Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
"The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in
Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
"An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry
of Finance - Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and
Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
"An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry
of Finance - The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The
Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern
Africa (MEFMI) 1998
"The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And
Southern Africa, Mefmi - Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI
Liason Committee (1999).
"Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid
marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human
Development Report.
"Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP
Cooperation South No. 1 1999
"Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented
at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya
December 1999.

Huyu hatakuwa DK Slaa, PhD.
 
nimesema hivo sababu title yako inasema (Uprofesa wa Lipumba unaleta walakini!) as if usomi wake ni wa kubabaisha kama wa slaa na wengine... lipumba leval nyingine ....

Uprofesa wake unaleta walakini katika mitazamo ya yupi hasa anafaa kuwa kiongozi bora. Wengi tunang'ang'ania tu elimu kwa kiasi cha kutusahaulisha nyanja nyingine. Sikatai kuwa elimu ni muhimu. Lakini elimu peke yake. Pengine tafsiri yako ya kichwa cha habari ndio yenye walakini mkuu wangu
 
Back
Top Bottom