Kiwira Kata nyingine kuangukia chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwira Kata nyingine kuangukia chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DCONSCIOUS, Mar 13, 2012.

 1. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kataya kiwiri ni moja ya kata iliyopo mkoani mbeya wirayani Rungwe tangu tupate uhuru ilikuwa chini ya ccm mpaka siku ambayo diwani wake Mwankenja alipo uwawa .Kumekuwa na uchaguzi mdogo katika kata hiyo ambapo. Ushindani haupo tena kwani chama cha chadema kimezidi kukubarika na ccm kinazidi kupotea. Sababu nihizi hapa.
  1. Kata ya kiwira imekuwa na ushuru mkubwa sokoni kuliko kata ya Mpuguso inayo ongozwa na Chadema. Hii ni mtaji kwa chadema. 2.Diwani aliye pita alikua hana ushilikiano mzuri na wananchi. 3. Wamekua wakitoza michango mikubwa shule za kata kama elfu kumi wakati kata inayo ongonzwa na chadema ya mpuguso mchango wa shulr hauzidi elfu 3.
  YANAYO JITOKEZA KWENYE KAMPENI.
  1.Uzinduzi wa chadema ulifana sana huku makamanda kama Mwampamba aliyegombea mbozi magharibi,mwenyekiti bavicha mkoa wa mbeya scafunje, Mzee wa upako , pamoja na Mbunge wa vitimaalumu toka mpanda Anna malaki. waliuteka mji wa kiwira na kuacha sumu ambayo ccm wameshindwa kuitoa.
  2.CCM walizindua jana kampeni zao lakini ziliingia dosari kwani kabla ya uzinduzi walienda kwenye sehemu ya chadema ili kuzuia msafara wa chadema kwa kuweka magogo barabarani hali iliyo zua vurugu lakini nguvu ya umma ilijipambanua mpaka mbunge wa chadema mama malaki alipo toka kuwatuliza wana nchi huku wabunge wa ccm wakiwa wamejificha kwenye ma VX yao .
  3. CCM walichukua maderva wa boda boda na kuwawekea mafuta lita tatu tatu na elfu 250 kila dereva wa boda boda ambao walilazimisha kwa shinikizo la kufungiwa kuendesha bada boda kama wange kataa kushiliki.
  Wakati wa msafara wa CCM Bodaboda mmoja aligongwa na gali na kufariki hapo hapo

  DOSARI KWA CCM
  1.Baada ya ajari viongozi wa ccm hawa kusimama bali waliendelea na msafara
  2.Hata daktari mwakyusa hakusimama kutoa huduma ya kwanza kama dokta
  3. Mkutano uliendelea kama kawaida japokuwa ulikuwa umeudhuliwa na viongozi tu na bedi ya TOT plus
  4. Katika kufuta hilo walamua kuchangia fedha eti za kumuona majerui bila hata kujua kuwa alikuwa amekufa pale pale
  5..Kwasababu alikufa kwenye msafar awa CCM huku akiwa amejifunga kilemba cha CCM habari zimeenea kuwa CCM wameamua kumfanyia kafara . Hii imezidi kuwachafua
  6. Mpaka sasa CHADEMA ina asilimia 90 ya ushindi japokuwa Zitto na Sugu bado hawajafika

  MAPUNGUFU CHADEMA
  1. Kuna upungufu mkubwa wa bendera hasa kwa boda boda  Ntazidi kuwapa update kila tukio
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Habari murua sana hii. Ahsante sana mkuu na Mungu akubariki.
   
 3. S

  Stany JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka vipi uwezekano wa picha kuthbitisha maneno yako? Tumia hata kamchina utupie updates hapa.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu tupeane updates zaidi huko.
   
 5. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Msihofu mtapewa picha yote
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Natoa pole kwa wafiwa na watu wote walioguswa na msiba wa kijana wa bodaboda. Kiukweli CCM hawafai na kata hiyo ikichukuliwa basi litakuwa ni fundisho tosha.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tunataka mtuwekee picha halisi, isiwe picha za kuchakachua kama zile za ccm za arumeru
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri mkuu,
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watu wanaweka picha za JK alipokuwa anazindua kampeni zake mikoani kisha wanasema USA, idadi ya watu waliohudhuria ni wengi kuliko idadi ya wakazi.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mhe Zitto, Sugu, Mchungaji Msigwa, Chacha Mwita na Uongozi wa BAVICHA, kuna kazi ya ki-chama Kiwira inawasubirini kule
   
 11. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Poleni sana kwa msiba. Ni matumaini yangu kuwa mtaweka siasa pembeni katika hili suala la msiba. Ajali ilitokea eneo gani hasa. Ni Hii njia kuu kati ya Nyibuko na Tandale? ni kwenye hii njia ya Igogwe? au Kibarabara cha Ilundo! Ni wapi hasa na marehemu ni mtoto wa nani? Poleni sana. Tutakuwa pamoja nanyi kiroho. Chadema na CCM ni watoto wa baba mmoja. Moyo wangu utafarijika sana nikisikia wote mumeshiriki katika kumzika huyu kijana wetu.
   
 12. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimwfurahishwa sana kwa jinsi ulipangilia mambo yako vizuri. Pigeni kampeni bila vurugu tafadhalini.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye kushirikiana kuzika ndo umeharibu,kwani kwenye kuua walishirikiana?
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  swali zuri kamanda, ila acha washiriki katika mazishi kwani msiba hauna mwenyewe, viva cdm
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nakumbuka siku moja nilipita pale Kiwira niliongea sana na vijana wale, walinihakikishia kuwa wao ni damu damu na CDM walisema walikuwa CUF na wameamua kwa kauli moja kuzifunga hizo za KAFU na kufungua za CDM

  Wale vijana walininiambia kuwa kwa sasa Mjini(Mbeya Mjini ) ndiyo wame lala na siyo wao kimsingi tulijadili mengi sana

  Hongera CHADEMA twanga kotekote
   
 16. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Big up kw wote huko, kina Mwakajila, Mwampamba, Shonza.... komaeni mpaka kieleweke:violin:
   
 17. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hawani Wanyakyusa wakisema NO ni NO ya ukweli hawabadili hata kampeni zisipo pigwa kwa maelezo haya jamaaa hawana chao huko

  kumbuka jinsi akina Mwandosya wanavyo pita bila kupingwa ni kwa sababu ya misimamo ya hawa watu wanapo ona wanamkubali mtu
   
 18. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ile kauli ya JK ya kuwa hivi ni VYAMA VYA MSIMU sasa inamrudi. Huu uamsho uliopo sasa unatosha kabisa kuirudisha hii nchi mikononi mwa wenye nayo kama Tume ya uchaguzi itakuwa huru
   
 19. F

  Froida JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  SWAFIIIIIIIIIIIIII sana hao watu wanaelewa na wanajitambia embu toeni elimu kwa maderava wa bodaboda waachane na hao wauaji yaani ajali inatokea wanashindwa kusimama halafu watataka muwape kura nyie watu wa huko Mbeya Arusha na Mwanza naona mutatuongoza mutatuongoza kwenye mageuzi ya kweli
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana wana Kiwira.Mungu awabariki na kuwatia nguvu.
   
Loading...