Kwa kuwa Mkapa kupitia CCM ameanza kampeni chafu, ni haki Chadema wammalize | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kuwa Mkapa kupitia CCM ameanza kampeni chafu, ni haki Chadema wammalize

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 14, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa CCM wameanza kwa kampeni chafu huko Arumeru kupitia kwa Mkapa, basi naomba Chadema wammalize fisadi huyu, hadi ajute kabisa kuzaliwa. Pia ajute kwa kupanda majukwaani huku ameunyaka kisawasawa.

  Tena naomba ifanyike hivyo katika kila mkutano wa kampeni huko Arumeru, wananchi wa huko waelezwe hujuma zake zote alizozifanya dhidi ya Watz -- EPA, Deep Green, Twin Towers, Radar, kuuza nyumba za serikali, kujiuzia mgodi wa Kiwira na madudu mengine mengi.

  Tunataka CCM na fisadi wao Mkapa wanaomfanya eti ni mtaji watambue kuwa 'maharage siyo mboga, bali ni dawa ya tumbo.
  '
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umeniacha hoi hapo kwenye red. Naongezea - '......watambue kuwa baskeli si chombo cha usafiri, bali ni kuchosha miguu.'
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Ndevu si Mzigo Kama wewe una ubavu huo si kaifanye kazi hiyo?
  Katika CDM sioni mwenye ubavu wa kurudisha mapigo ya BWM zaidi ya kutoa hewa ya joto.
   
 4. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yani na mimi mbavu sina mbavu! na TENA naongezea kuWa ndege siyo wa kula tu bali waweza kusafiria!Duh kaz ipo!
   
 5. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ka!!! KUJIPENDA SIYO LAZIMA UJIPIGE BUSU.......kukaa kimya kama Mwinyi ni kujipenda pia...KWAHERI
   
Loading...