Ajira ya Uchaguzi Tanzania (Career Elections) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira ya Uchaguzi Tanzania (Career Elections)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Homer, Mar 13, 2012.

 1. H

  Homer Senior Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi imekuwaje mpaka watanzania walio wengi wameugua ugonjwa wa uchaguzi? Imekuwa kila kukicha mijadala mikubwa ni ya uchaguzi-chaguzi tu? Mara vyama: Magamba hapa, Chadema pale, CUF nao ... Halafu watu: EL Monduli, Rosti, Al Sumari, nk. Mijadala ya maana kuhusu maendeleo ya nchi hakuna!

  Serikali, vyama vya siasa na watu binafsi wanatumia mabilioni ya fedha kujaribu kuweka 'mtu' wao kwenye post wakati walimu, madaktari, na walala hoi wengine wanazidi kuwa hohe hahe!

  Where is the logic? Tumefika kwa waliozoea kula vijisenti na vijipesa vya uchaguzi wanatamani afe mbunge kila wiki ili uchaguzi mdogo uitishwe! Makes me sick to the core:(
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Hivi huoni kwamba na wewe ni miongoni mwa wale wale!? mbona hujaleta hoja ya msingi ambayo wewe unadhani/ungependa ijadiliwe!
  Kweli Nyani haoni Kundule hukupaswa kuongelea wanasiasa hapa kwenye hii thread ungeshusha moja kwa moja nondo ulizonazo ili watu wajadili.
   
 3. H

  Homer Senior Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe kweli ni kipofu wa fikra. Nasema tujadili maendeleo na shida za wananchi, acheni kujadili watu na uchaguzi kila siku! Sasa mpaka utafuniwe ndio uone hoja ya kujadili? Unataka kudesa hata hoja eti nondo?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo haya ndio maendeleo unayoyajadili wewe hapa!!??,.....
  No wonder thread imedoda maana naona watu wameamuwa kuipotezea maana hueleweki. Alamsiki!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tangu ulipotamka hilo jina nilitambua na wewe upo pande hizo hizo!
   
 6. H

  Homer Senior Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kudoda ni sawa tu, hilo nilitegemea kwa sababu naona hata JF imeingiliwa na watu waliokaa kishabiki zaidi badala ya kujenga hoja! Hoja nyepesi nyepesi ndizo zinakupeni mental stimulation!
   
 7. H

  Homer Senior Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe hasara kweli! Yaani ndio ukomo wako wa kufikiria?
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Labda kwa kukusaidia tu ni kwamba hapa ni Jukwaa la siasa na JF ina majukwaa mengi, si lazima ukae jukwaa hili.

   
 9. H

  Homer Senior Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee, wewe ni mbishi wa kuzaliwa (japo safari hii umejibu kwa ustaarabu):cool2:
   
Loading...