Arusha - Je tunaridhika na utendaji wa Godbless Lema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha - Je tunaridhika na utendaji wa Godbless Lema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpingauonevu, Mar 13, 2012.

 1. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Tukiwa ni wakazi wa Arusha tunakubaliana kwamba Arusha ni ngome ya CDM. Arusha ni jiji ambalo linaingiza pato la kutosha kwa Taifa. Lakini ndilo jiji pekee Tanzania ambalo halipangiki, halina barabara na wala haijulikani mpango wake wa kesho ni nini. Lakini kwa Mbunge wetu tunaona yuko busy na matukio yatakayomfanya awekwe ndani na polisi ili apate kura za huruma. Swali la kujiuliza
  1. Majukumu ya mbunge ni yapi na Lema ametimiza mangapi.
  2.Majukumu ya madiwani ni yapi na mbunge amewahamasisha madiwani wake kwa mangapi?
  3.Je? tukimlinganisha Lema na Felix Mrema nani atakuwa amefanya mengi kwa maendeleo ya Arusha?
  4.Je? Lema ndiye aina ya mbunge tunayemuhitaji?
  naomba kuwakilisha
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Sasa haya maswali unamletea nan humu? Si uwende Arusha ukawaulize wananchi wenyewe kuliko kuleta ukinega wako humu! Najua unachuki binafsi na Lema na una element za kigamba, Basi na wewe tukuulize hivi na wewe umefanya mangapi ktk taifa lako kama si kupiga majungu 2" ACHA TABIA ZA KIKE.
   
 3. M

  MGONGOFIMBO Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kabla ya kuangalia hayo angalia vikwazo vya dola na ccm anavyokutana navyo
   
 4. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  aah kaka maisha hayaendi hivo bana! hili ni jamvi la weledi. maswali yako wazi na ni vizuri ukitoa hoja kuliko kuwa mkali tu. hata hivyo kama wewe sio mkazi wa jimbo la Arusha hili halikuhusu maana huna cha kujibu. waachie basi wanaoishi Arusha wajibu kulingana na muono wao.
   
 5. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  tuviainishe basi ili watu wengi wavione. mfano alitaka kufanya nini na dola ikazuia nini basi hapo tunajua sio kosa lake.
   
 6. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hebu tuambie kwanza utandaji kazi bora ya hao wabunge wa ccm unaowaona wanafanya kazi nzuri kuliko Lema?
  Mada yako inaonyesha wazi wazi chuki binafsi na Lema
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Asijidanganye mtu kuwa mbunge wa upinzani anaweza kutimiza ahadi zake za kampeni, atachokifanya zaidi ni kufatilia yaleyale yatakayotimizwa na Serikali iliyopo madarakani, na sera zitakuwa ni za chama tawala.

  Cha ziada atakachokifanya ni kupiga porojo tu.
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeongea point sana . Kwakweli hali mbaya sana hasa upande wa barabara na ajira kwa vijana . Nafikiri 2015 tutajua chakufanya.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bucho unaonekana unaijua A-Town, kumbe nimegundua wewe ni wa kuja, au la una lako jambo!
  Kam aupo Arusha kwa sasa utakuwa umeona mabadiliko katika barabara kadha za mji!...
  1.Hujaona bara2 ya round about ya Unga Ltd kupitia FIRE kwenda kuunganisha East Africa Hotel ikiwa inajengwa?
  2.Hujaona eneo la Makao Mapya bara2 zile zikiwa matengenezo?
  3.Huoni bara2 ya Ngarenaro to Majengo ikiandaliwa kwa upanuzi?
  Ni kweli hazi-meet demand ya barabara, lakini huwezi kufanya kazi hizi overnight!
  We should learn to appreciate!
   
 10. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45

  hivi ni kweli JF kuna vichwa? yaani mbona hamtoi hoja? yaani wote mnadai nina chuki sasa hata kama nina chuki jibuni basi hoja ili ijulikane nina chuki! nina wasiwasi hata hamjui mbunge wenu kawafanyia nini! kama wa CCM hakufanya niambieni wa CDM amefanya nini?halafu swali jingine hivi tulimchagua Lema au CDM?
   
 11. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tungekuwa na utaratibu huo wa kuhoj bila shaka serekali ya ccm isingekuwa madarakani..najua unaugomvi na lema kwa kuwa hakukupa ubwabwa,kofia,kanga.........kiukwel lema kaongeza uelewa wa watu hapa ar.polisi hawapigi watu hovyo kama wanavyofanya mikoa mingine lingine tunaona barabara za lami zinajengwa kwa kasi katikati ya mji
   
 12. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli maisha yamekuwa magumu mara dufu. Lema ni mbunge kazi za mbunge zimeainishwa kwenye KATIBA ya jmt. Haya maswali muuli aliyeshikilia dola na serikali. Felix hakufanya lolote la maana hata kidogo, zaidi kawekeza katika mashamba ya maua 'malalua'
   
 13. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ahsante. umekuja na barabara. wengine wekeni mengine basi.
   
 14. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45

  Kwani wewe ulimpa kura mbunge wako ili akupatie nini? na je ulichokitarajia amekupa?
   
 15. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Kati ya LEMA na CDM unapenda nini?
   
 16. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hapo red; hizo kura za huruma anapiwa lini ? kama kuwa busy na police ni baada ya uchaguzi sasa hizo kura za huruma zinakujaje leo mwaka 1 baada ya uchaguzi

  Ndiyo maana watu wanasema una hila na LEMA
   
 17. D

  DOMA JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mimi na familia yangu tunaridhika naye kwa asilimia 100
   
 18. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  kwani Tanzania kampeni za 2015 si tayari zimeanza?
   
 19. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  napata tabu sana ninaposikia mtu akimlilia mbunge eti kuhusu suala la ajira. Kila mtu anajua jinsi gani taratibu za ajira zinavyopatikana. kuna vigezo kama mwombaji aombe mwenyewe, uadilifu wake, na sifa au fani anayoombea. Kumwambia Mbunge eti akalete ajira kwa vijana huko ni kudanganyana.
  1. Ana takwimu za jobless katika jimbo lake?
  2. anaombea kasi nafasi gani kwa watu wepi na wenye sifa zipi?
  3. Mbunge anayesema ataleta ajira kwa vijana kwenye majukwaa naona ni ****** tu kutuona sisi mapoyoyo.
  4. wanasiasa wanatakiwa wawakazanie hao jobless kuwa maisha zio lazima kuajiriwa unaweza ukajiajiri mwenyewe tu na ukala mabata ya kutosha.kulinagana na uwezo wa kisomo chake au pia upeo wake.
  Mbunge au kiongozi atayesema kuwa TUTATENGENEZA MAZINGIRA MAZURI YA WATU KUJIAJIRI AU KUAJIRIWA NA asimamie hilo huyo ndio kiongozi. Huwezi kucreat ajira milioni moja bila kuwa na takwimu na mazingira ya kufanyia hizo kazi mi naona nkama usenge tu kutudaganya
   
 20. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama umetumwa na magamba kuja kulichafua jembe utaambulia kujichafua mwenyewe,na kwa taarifa yako sisi wana Arusha aka machalii tunamkubali lema hata atawale milele jimboni kwetu,nyinyi magamba type mlileta nin zaidi ya majungu na wizi wa tanzanite yetu kupeleka nje na kuwafukia wachmba migodi hapo mireran ndani ya mkoa wa Arusha?.Mwacheni Mhe.G.Lema awaadabishe nyie magamba!Mtakomaje arumeru?
   
Loading...