CHADEMA kuweni na mbinu thabiti kuikabili CCM katika uchaguzi wa Arumeru.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Nadhani ni muda mwafaka kwa CDM kukabiliana na janja wanazotumia CCM katika chaguzi mbalimbali, kulalamika tu haitoshi, nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kutokana na chaguzi zilizopita.

Mfano:
Uchaguzi wa Igunga malalamiko yalikwepo kuwa CCM walitumia ujanja, humu jamvini yameletwa malalamiko pia kuwa CCM Arumeru inanunua kadi za kupigia kura,pamoja na hayo tume ya uchaguzi haikuandaa uandikishwaji ktk daftari la kupigia kura mwaka huu (hilo nalo linaweza likawa mbinu mojawapo), malalamiko mengi yakizidi pia yanapunguza imani kwa wapiga kura. Malalamiko yanapozidi wananchi wanapoteza imani kwa viongozi wao nakudhani kuwa hawana msimamo au uwezo wa kuongoza,kuwe na mbinu za kukabiliana na chama tawala ili CDM ipate ushindi kwenye uchaguzi huu wa sasa.

Je, CDM imejipanga vipi ili yasijirudie yaliyopita?
 
Mkuu tumejipanga na tunaendelea kujipanga na kuhakikishia tumewashika....

Mkuu magamba wana mbinu nyingi sana,wanaiba,wakiona kura hazijatosha wanatumia NEC,itabidi kuwa na njia madhubuti ili wasiheme
 
Nadhani ni muda mwafaka kwa CDM kukabiliana na janja wanazotumia CCM katika chaguzi mbalimbali, kulalamika tu haitoshi, nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kutokana na chaguzi zilizopita.

Nadhani ni muda mwafaka kwa CDM kukabiliana na janja wanazotumia CCM katika chaguzi mbalimbali, kulalamika tu haitoshi, nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kutokana na chaguzi zilizopita

nadhani hapo ndo point halisi
 
Sawa lakini labda tungeanza na wewe ni mbinu gani ungeishauri CDM ili iweze kushinda? Bkoz mi naona vijana wamejipanga vizuri 2 lakini pia kwa malamiko wanyoyatoa CDM yana ukweli ulio wazi kabisa.
 
Unaweza ukakabiliana na mbinu zote ukamaliza, lakini kama NEC imekusudia mgombea wa magamba ashinde, hakuna unaloweza kufanya.
 
Aisee mkiweza kuzibiti karatasi zinazoingia na zinazotoka kituoni na kuzifuatilia mpaka zinakoteketezewaga, na mkiwa wabishi mkiona ukiukwaji, BASI MTAKUA MMETUMALIZA SISI CCM. Hatunaga ujanja mwingind kweli tena.
 
Mbele ya Nkapa, mtalia sana...namuaminia huyu chinga..anajua ule umafia wa RC
 
Aisee mkiweza kuzibiti karatasi zinazoingia na zinazotoka kituoni na kuzifuatilia mpaka zinakoteketezewaga, na mkiwa wabishi mkiona ukiukwaji, BASI MTAKUA MMETUMALIZA SISI CCM. Hatunaga ujanja mwingind kweli tena.
mkuu tatizo tanzania hatuna tume huru,hili tume ndo inarudisha demokrasia nyuma
 
Sawa lakini labda tungeanza na wewe ni mbinu gani ungeishauri CDM ili iweze kushinda? Bkoz mi naona vijana wamejipanga vizuri 2 lakini pia kwa malamiko wanyoyatoa CDM yana ukweli ulio wazi kabisa.

kuthibiti tume ya uchaguzi
 
cdm naomba mjipange kisawasawa yaan hamuishiwi malalamiko,cdm mumekuwa kama watoto wa chekechea jaman,mpen nasari mikakati si kupayuka hoo ccm wanaiba mara vile,tmechoka na mambo yenu
 
Nikujitahidi kudhibiti nyendo zozote zitakazo onekana ni kinyume na maadili ya Uchaguzi na haki kwa mpiga kura na hata mgombea.
 
cdm naomba mjipange kisawasawa yaan hamuishiwi malalamiko,cdm mumekuwa kama watoto wa chekechea jaman,mpen nasari mikakati si kupayuka hoo ccm wanaiba mara vile,tmechoka na mambo yenu

wanajipanga kisawasawa
 
Nikujitahidi kudhibiti nyendo zozote zitakazo onekana ni kinyume na maadili ya Uchaguzi na haki kwa mpiga kura na hata mgombea.

mkuu ila wakati mwingine nec inachangia kwa kiasi kikubwa,mfano pingamizi alilowekewa sioi ni la msingi sana ila najifanya hawajaliona
 
Back
Top Bottom