Mafuta ya uganda yatumika kuwasomesha waganda

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,092
466
Ndugu wanajf nchi ya Uganda imeanza hivi karibuni kujihusisha na uchimbaji wa raslimali mafuta. Ilihali Tanzaia kwa zaidi ya miaka 10 sasa tumekuwa tulichimba dhahabu na madini mengine.

Kwa mujibu wa attachemnt inaelekea katika mikataba ya nchi ya Uganda na wawekezaji wa mafuta kipo kipengele cha raslimali hiyo kutumika katika kunyanyua elimu ya waganda hususan elimu ya juu.

Zitto, Makamba, King'angwala, Nape, Mnyika, Lissu na wengineo mikataba yetu ya madini na wawekezaji haiwezi kurekebishwa ili madini yetu yakatumika kuwapati vijan awa kitanzania scholarship za masomo mbali mbali ya juu?

View attachment Tullow Group Scholarship Scheme.pdf

​
 
Hawa viongozi wa Tanzania wanaofikiria matumbo yao unafikiri wazo kama hili huwa linakuja akilini mwao?? Hata hivi CCM wanataka Watanzania tubakie hivyo hivyo ili watutawale milele!!
 
Hayo mafuta ya Uganda bado hayajaingia sokoni, hivyo vipengele unavyoongelea huwezi kuamini hadi uone utekelezaji wake kwani hata mikataba ya makampuni yanayochimba dhahabu bongo ina vipengele kama hivyo lakini utekelezaji kinyume.
 
Back
Top Bottom